Mwanzo 2:18 'Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye'.
Habarini za Leo wanafamilia wenzangu wa JF. Nimeanza kwa nukuu hiyo kutoka katika kitabu kitakatifu cha Biblia. Nipo hapa kueleza nia yangu ya dhati, ya kutafuta mke , mwenzangu wa maisha...
Hiyo huduma ha IVF inapatikana "Mwanza Hospital" ipo mtaa wa Rufiji, karibu na uwanja wa Mbugani Shule ya Msingi. Bei ni around 10M to 15M. Kwa Contact nichek PM
Duh pole sana kwa maisha uliyopitia, ulisahau Kumtanguliza Mungu katika mambo yako, angeweza kukufanyia utajiri kupitia njia za harari. Pole sana, kwan utajiri Wa namna hiyo hauwezi kuwa na mwisho mzuri...
Kwa manufaaa na ya wana jamvi wengine wenye hilo tatizo au ambao wanaweza kujikuta wamepata hilo tatizo kwa siku zijazo, weka hapa tiba hiyo ya kienyeji unayo ifahamu wew...
Kiwango cha elimu cha ninim sasa, coz angekua na vyeti feki uhakiki ungepita naye, lakin now yupo on work bado, means academic yake ni original and ipo okay kwa kulitumikia taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.