Msaada: Gharama ya kupandikiza mtoto/mimba!

Hiyo huduma ha IVF inapatikana "Mwanza Hospital" ipo mtaa wa Rufiji, karibu na uwanja wa Mbugani Shule ya Msingi. Bei ni around 10M to 15M. Kwa Contact nichek PM

Ni hizi hizi shahawa ndio ghali hivyo? Samahn maana najiona mshamba
 
de0ef63e9df6cc7235e9e1576956c30c.jpg
 
Hizo no nimeshindwa kuzisoma!
Mi nakushauri Kama pesa unayo nenda Nairobi, nshawaona watu wawili waliofanikiwa kwa njia hiyo walifanyia huko, na gharama ni million 17 ila gharama hiyo inakuwa pamoja na accommodation Kama hauna sehemu ya kufikia Kama unapo pa kufikia inapungua, na failure rate yake ni ndogo Sana ukilinganisha na hapa bongo, ukizingatia unalipa pesa ndo unafanyiwa hata ikifail pesa hairudishwi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom