Recent content by mtanzania10

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu?

    Naomba kuelekezwa ni jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu yani namaanisha mpesa, airtel money au tigo pesa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [/USER]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kampuni gani hii na hii optioni inaitwajwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majibu

    Msaada ni NJIA ipi Kati ya hizo naweza tumia kwa ajili wa kuweka na kutoka pesa ikaja kwenye account ya benk au mtandao wowote wa simu tanzani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Mimi lengo ni kulipa deni ila na Mimi nibakiwe na laki ili niweze kuishi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Lengo ni kuwalipa kidogo sio kuacha kuwalipa na nikae huru bila kusumbuliwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Msaada mbona kimya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Mimi ni muajiriwa Serikalini. Nilikopa kwa watu wanaotoa riba alafu yeye anabaki na kadi yako ya benki mshahara ukiingia anachukua. Tulienda nao vizuri baadaye Mambo yaka ingiliana uwezekano wa kuwalipa ukawa haupo nikaanza kuwapiga chenga mshahara ukiingia Mimi natoa kwa NMB Mobile. Jamaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Write your reply...kwa wale WA nmb tayari salio linasoma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Write your reply...salary ilishatoka mda hu kwa wale WA nmb
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Kama kuna mtu anafahamu namba ya huduma kwa wateja ya halotel tofauti na 100 anijulishe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada wadau kwa betpawa mechi ya Torino na sasuollo nimechagua option ya penalt awarded nikaweka (no) sasa nashangaa nimeandikiwa lose alafu tena wameandika to be update mwenye kuelewa wanamanisha nn msaada tafadhili
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

    Jamani mwenye taarifa juu ya ili tatizo atujuze kumbe sio kibongo tu kuna halmashauri nyingine
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

    Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Salary

    Salary out naona wametoa mapema tutumie kwa makini
Back
Top Bottom