Kwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo!
Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono, mitazamo na sera za CCM, lakini kila ninapoingia mitandaoni naiona CHADEMA zaidi ikitangazwa kwa...