Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

kauli za kina alsahafu zingine hz.... sasa hv ni saa 12 asubuhi viwanja vya kingori tayari vimeshajaa malaki ya watu yameshafika na malaki mengine yanaendelea kuingia ni kama chadema ishakufa....

Duu! Masta umetukumbusha mbali na haaaswaaaaa! Alsahaf, acha kabisa masta!
Tunaweza kumlinganisha na nani sijui ndani ya ccm? Mwanzoni ungeweza kudhani Nape lakini naona ameshtuka kiaina!
 
kumbe mkapa alienda arumeru kutafuta ukoo wa baba wa taifa.bila shaka atakuwa amefanikiwa.labda baada ya matokeo ya ubunge anaweza kurudi na kuulizia wajukuu wa nyerere.
 
kumbe mkapa alienda arumeru kutafuta ukoo wa baba wa taifa.bila shaka atakuwa amefanikiwa.labda baada ya matokeo ya ubunge anaweza kurudi na kuulizia wajukuu wa nyerere.
Mzee kaenda kujimaliza
 
Kumbe wana CCM wahuni sanae, inakuwaje wanawatia mimba wanaCDM wote? Ndiyo yaliyojiri huko Bungeni ama? Mtu mzima huwezi onge hivi. Lakini najua jamaa ananijua sana kwani kasema yeye ni kichaa/mwendawazimu wa kuzaliwa. Kwa nini aende bungeni wakati yeye ni kichaa? Kikwete Baba chonde ukimwacha nawe tutakufikiria vibaya.
 
Tena wapo wengi..huyo wa kuongea na wapo wengine wa matendo ya ajabu..wengi tu
 
CHADEMA ikishinda arumeru hakika nitajinyea - Nchemba.

Angewaita na waandishi kbs wkt anashusha huo mzigo, USHAHIDI WA HIKI KIAPO NI MUHIMU TUNGEUPATA HAPA JAMVINI. Chezea CDM yeye?? Kagenzi mwenyewe kakubali ngoma ilikuwa nzito hapana pata ona mahali popote, na kakiri uchaguzi ARUMERU umempa PhD ya uzoefu. Watu walilinda kura kama chimbo la Uranium
 
Slaa mshamba sana anavaa kombat kubwa akitembea kama kajinyea,mbowe anasemaje ana uchungu sana kwani ana mimba,mbunge wa a town alipata bwana jela,wanaonyoosha alama ya vidole viwili wana mimba-amesema mbunge wa singida mjini dula kibajaji aka Lusinde binamu yake na malechela!
 
Back
Top Bottom