Mbombo Ngafu
Member
- Apr 12, 2013
- 78
- 17
Tumekusikia kamanda mkuuu spidi 120 mpaka wake hao.
Nilona gazeti la uhuru likiwa ktk stand..nikacheka kwa jinsi lilivyopata rangi ya kutu haraka hata kabla ya saa 5(kwa reaction na hewa), ni kamwambia jamaa mmoja ambaye si mtanzania.Kumbe ni mtaalamu wa printing akaniambia kuwa karatasi zake si za magazeti.Nikacheka sana..hadi leo CCM hawajui makaratasi ya hiyo kazi halafu wanataka waendelee tawala hii nchi?
Mkuu nawe unanichekesha! Hujui kuwa hao jamaa bado wako kizazi cha Analogia? Wao ni mabingwa katika mipasho tuu!
Kwa hiyo yaliyoandikwa humo ni udaku? nlikuwa nataka kujua source ya hiyo habari... kujua kama ni tanzania daima nimefarijika sana maana ujumbe utawafikia asilimia 95 ya wasomaji wa magazeti maana ndio gazeti linaloongoza kwa kuuzwa...Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
uongo upi we kinabo unawashwa masabur....n pimbi mkubwa wewe,yote yana mwisho itafahamika mshatudanganya sana tumechoka kuburuzwa.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Mhhhh! lol! naona bado unacheza na miguu yote miwili 🙂🙂 Pumzisha mguu mmoja. By the way saa ngapi unapika futari na daku!? Maana kila nikiingia huku nakukuta ukishiriki katika majadiliano mbali mbali. Msalimie gozigozi 🙂🙂
Uongo upi tena bi. mkubwa?
Bibie hujambo? Unameremeta!!!!!!!!!!
uongo upi we kinabo unawashwa masabur....n pimbi mkubwa wewe,yote yana mwisho itafahamika mshatudanganya sana tumechoka kuburuzwa.
mziki huu Kinana keshachoka kuucheza.
:A S kiss:
By,rub:uongo upi ww mbona hujielewi