Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,271
Reaction score
13,429
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang
 
Kila kimlacho mwenzie ujue kina njaa!
Mpe haki yake Mkubwa!
 
Ushauri mwingi unaokuja humu ndio unaoreflect maisha ya vijana wa kisasa. Ukiamua kufanya dhambi, basi fanya na uendelee isiwe kidogo tu kwake huyo, nenda kwa wengine wote ambao waume zao hawana uwezo na uzalishe wake zao.

Kama una imani hata chembe kwa Mungu, basi hutathubutu kufanya kitu kama hicho. Some things are best evaded by running away. Hebu jiulize KWA NINI WEWE na sio mtu mwingine?

Take it or leave it, utajuta uamuzi wako baada ya kula tunda lisilokuhusu, wewe sio Mungu ati usolve matatizo ya watu. shughulikia future yako brother.
 
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang
Una maana gani hapo kwenye bold..!! Wewe una watoto wangapi kwa mchumba wako hadi huyo shemegi apate ushawishi huo..?? Kumbuka huyo ni mke wa mtu ila wewe una mchumba tu kwahiyo uchungu wa mke bado hujaujua..!! Mimi nakushauri uachane nae, mwambie naogopa kugusa mke wa mtu kama ambavyo sitapenda mtu aguse mke wangu..Period!
 
nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang

acha uzinzi. Yaani unataka tukushauri ukazini na mke wa mtu ili dhambi yako itupate na sisi?
 
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa anasimangwa sana na mawifi zake nilipomsihi waende hospital anasema yeye anauhakika aliwah zaa kpindi cha nyuma yaan ananitega sana anafkia hatua yakunijia usk geto kwang na kunishka uume mpaka anatoa machoz anaomba niinusuru ndoa yake sababu anaweza kutmuliwa asiposhka mimba. Hebu nishaurin wakubwa cjui nimgegede au nimwache? Kiukwel ameumbika sana zaid ya mchumba wang
Amejuaje kuwa unaweza kumzalisha? vipi mchumba wako anasemaje kuhusu wewe kumzalisha huyo mama, na wewe je ukishindwa kumzalisha huyo mchumba wako utakubali azalishwe na mtu mwingine?
 
Anakushika uume? Mpeleke polisi walahi ashughulikiwe maana huo ni udhalilishaji wa kijinsia.
 
Amejuaje kuwa unaweza kumzalisha? vipi mchumba wako anasemaje kuhusu wewe kumzalisha huyo mama, na wewe je ukishindwa kumzalisha huyo mchumba wako utakubali azalishwe na mtu mwingine?

mm na mchumba ang tuna mtoto mmoja na mchumba wang hajui chochote knachoendelea
 
acha uzinzi. Yaani unataka tukushauri ukazini na mke wa mtu ili dhambi yako itupate na sisi?

ningekuwa mzinz c ningekuwa nimemla tayar ndo maana nmeomba ushaur
 
Back
Top Bottom