Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Mhhh...Hii habari ni sawa sawa na BAJAJI inayoifukuzia AIR FORCE ONE ya Obama..
 
unaweza kuthibitisha kuwa mwigulu ni kipenzi cha watanzania?
 
Kwa mara nyingine tena mwendawazimu anatoa ahadi kwa vichaa wake, Ile ya ushahidi wa BOMU LA ARUSHA uliishia wapi? Maana aliahidi baada ya cku 3!!
 
Pole sana Mwigulu kwa mawazo ya kipuuzi unayotuambia hapa. Yaliyokupata Arusha umeyasahau_? Wala usithubutu kutoka huko ulikojificha natumaini upo hatarini sana. Wewe ni tatizo na CCM ikitaka kupona basi lazima ikufukuze uanachama haraka. Wewe ni tatizo katika nchi yenye amani maana hujui kuongea zaidi ya kutukana na sijui umesomea chuo gani hayo matusi.

Unamwaibisha mkuu wako wa kazi hujui tu.

Mungu akulaze mahali pema na shetani huko ahera ambako huwezi kukukwepa kwa mateso uliyowapatia Watanzania wasiokuwa na hatia.

Mungu akurehemu mapema iwezekanavyo
 
Mulikuwa wapi akikusimulia mipango mfu yote hiyo?...maana sioni source!
By ze way, kama anayosema kuhusu Juliana Shenzi na Stella Mwampamba yatafanyika, nawasikitikia hawa vijana, itabidi wachungwe sana maana kwa maamuzi hayo wataweza kujidhuru!

Hivi stella Mwampamba ameolewa?!..
 
Kada mahiri wa CCM na
kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya
kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika
medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa
umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya
Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana
ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani
na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana.
amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm
kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama
na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa
na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya
mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na
kusini.

Hii thread itakuwa inaratibiwa na BAa ya VICHAa aka BAVICHA. Ila ni watunzi wazuri
 
Nataka kulewa eeeh ... Ninataka kulewa ....Nikilewa nimwage radhi eeh:ban:
 
Aiangushe CHADEMA wakati yeye mwenyewe keshaanguka siku nyingi.
 
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.

Tunasubiri tuendelee kuwaona majukwaani wakinadi na kushawishi wananchi kujiunga na kukipenda chama chetu Mapinduzi.
 
''ANATAKA KUTUMIA JESHI, MAANA POLISI (4m4 failure) WAMEMUANGUSHA"
 
yeye akiwa miongoni mwa wanaoshusha hadhi ya hilo lichama kila kukicha, kweli bado anadhani kuwa kuitisha mikutano kwa pesa nyingi na kueleza 'mabaya' ya cdm ndio bora au kueleaza mazuri ya ccm!? Kweli la kuvunda...
Halina Ubani hata kidogo.
 
Hahahahaha! Mbavu zangu miye. Stella....

Mulikuwa wapi akikusimulia mipango mfu yote hiyo?...maana sioni source!
By ze way, kama anayosema kuhusu Juliana Shenzi na Stella Mwampamba yatafanyika, nawasikitikia hawa vijana, itabidi wachungwe sana maana kwa maamuzi hayo wataweza kujidhuru!
 
Itabidi nitafute life insurance maana vichekesho vya kuvunja mbavu vinazidi kila leo humu JF. Eti Mwigulu "kipenzi cha watanzania" Let us be serious.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Hii inatoka kwenye Kiwanda cha uongo.
 
Aende akatetee jimbo lake 2015 kijana wetu Dr Kitila Mkumbo atalichukua kwa hoja na umahiri mkubwa wa kujenga mikakati
 
Back
Top Bottom