Recent content by Mtanganyikamimi

  1. Mtanganyikamimi

    Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Du! Walikuwa wamelewa Balimi nini! Sina hakika na macho yao. kama macho yao ni mazima basi kichwani hakuna kitu. Sahihi zinaonekana zimefojiwa hata mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kudanganywa
  2. Mtanganyikamimi

    Dr. Bana: Takwimu za tume ya Warioba sio za kisayansi

    Watanzania hawamjui hata huyo Docta anayebana. Kabana kuunga mkono waume zake hatimaye kaachia. Achaneni nae huyo Dr. Uchwara. Tumeishazoea pumba zake. Hana kitu kichwani. Alipata bahati tu ya kuitwa Docta. Asitake kudanganya watanzania kwamba yeye anajua nchi hii zaidi ya Jaji Warioba. Kama...
  3. Mtanganyikamimi

    Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

    Monduli is Rich! It is a next level. Hata kama ni ujinga una kikomo. Wale wote mnaomsifia Low Head Haswa mmenielewa! Kuweni makini na mtu huyu! Ni hatari sana. Anatoa wapi pesa? Atazirudishaje hata kama ni zake? Acheni ushahabiki na ulimbukeni? Au tatizo umasikini wenu ambao umesababishwa na...
  4. Mtanganyikamimi

    Malumbano CCM: Kiyabo amjibu Makonda

    Safi sana. Uaneni wenyewe kwa wenyewe ndani kwa nadni msije mkamlaumu aliye nje. Hivi huu si mgogoro? Ingekuwa chadema tayari wangeita mgogoro wa wanachama au viongozi. Slowly, R.I.P CCM!
  5. Mtanganyikamimi

    M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

    Chadema wanafanya kazi. Hatuna budi kukubali na kuwaunga mkono kwa kutimiza wajibu wao wa kisiasa kwa jamii ya watanzania. Kwa bahati mbaya Wajinga wanabeza! Jamani sijui kuna watanzania wengine akili hawana! Hata kujifunza kwa kuangalia picha tu hawawezi, je hivi bila picha kwa maandishi tu...
  6. Mtanganyikamimi

    M4C Pamoja Daima ndani ya Musoma!

    Acha kuwa na akili za chawa wewe! Kwani Tarime siyo Tanzania? Fikiri sana kabla ya kuropoka.
  7. Mtanganyikamimi

    M4C Pamoja Daima ndani ya Musoma!

    Pamoja Daima Sana. Mungu awatangulie Makamanda wote.
  8. Mtanganyikamimi

    Sitta: Woga ni adui mbaya sana wa maendeleo na haki

    Samwel Sitta, unajua maana ya uoga? Wewe ni mwoga namba moja, tena siyo mwoga tu pia mnafiki na msaliti sana. Kujiridhisha na uoga ulionao, rejea Uchaguzi mkuu wa 2010 uliwafanyia nini Chadema kuhusu kugombea Urais wa Tanzania. Pia rejea baada ya uchaguzi uliwafanyia kitu gani Chadema kuhusu...
  9. Mtanganyikamimi

    Sitta: Woga ni adui mbaya sana wa maendeleo na haki

    Samwel Sitta, unajua maana ya uoga? Wewe ni mwoga namba moja, tena siyo mwoga tu pia mnafiki na msaliti sana. Kujiridhisha na uoga ulionao, rejea Uchaguzi mkuu wa 2010 uliwafanyia nini Chadema kuhusu kugombea Urais wa Tanzania. Pia rejea baada ya uchaguzi uliwafanyia kitu gani Chadema kuhusu...
  10. Mtanganyikamimi

    My friend Zitto Kabwe

    Kwanza kabisa napenda kutoa Pole kwako kwa Usumbufu wowote ulioupata kutokana na mgogoro uliotokea ndani ya Chama chako (Chadema). Pia natoa pole kwa wenzako wote mliokutwa na matatizo ndani ya chama. 1. Mhe. Zitto, unatajwa kwamba wewe ni msaliti ndani ya Chama. Mimi nimekuwa nikikufuatilia...
  11. Mtanganyikamimi

    Afande Sele: Nitapambana na Abood

    Nkuaminia Afande. Songa mbele.
  12. Mtanganyikamimi

    Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

    Tunataka KATIBA ya nchi ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) siyo katiba ya Wasira, Lukuvi, Chikawe na Ndugai. Kwani hawa wote watakufa lakini Tanzania itaedelea kuwepo. Watanzania tunamwomba Rais Kikwete awapuuze watu hawa, wana tamaa ya madaraka kuliko maslahi ya Taifa letu.
  13. Mtanganyikamimi

    CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

    Impossible. They can't. Labda wangekuwa Madiwani wa Bagamoyo au Chalinze.
Back
Top Bottom