Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Hahaha andika mipasho yako kwa kiingereza sasa "Chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya Kilaghai".
Utaishia kung'aa macho tu
Please, Convert your Comment in English!
Hahaha andika mipasho yako kwa kiingereza sasa "Chadema ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya Kilaghai".
Utaishia kung'aa macho tu
The used of ngeli Au the use of ngeli, ht secure NI sahihi lakini co appropriate sn ulipoitumia
Swala la Zitto lijadiliwe kwa Kiswahili...
Maswala muhimu ya kitaifa yajadiliwe kwa Kiswahili...
Come down dude!!
Dnt spit elsewhere meen.. i gatta no cover in here.. Just be calm, if tha barrier is language, then skip tha thread..
U cn jump into udaku and the like, whr english is unwelcome foreigner..
ka! ka! ka! ka! ka! ka!
At least for standard of Tanzania to know English is a sign of being educated and that is what Asha Mohamed is asking you guys to comment in the same language. We are waiting your contribution please CHAMVINGA, ZeMacopolo, Chabruma and all Lumumba team
Utajichanganya sana tu huo uvumi wa fedha chama kimekanusha na huyo unayemtaja naye anasema yeye hizo taarifa hajazihakiki wala kuzianzisha.Ushahidi gani unauzungumzia,uweke hapa na wengine tuuone pasi na shaka!!!!
Ufahamu wako sio gospel truth,weka facts tujue mbivu na mbichi!!!!
Mipasho na chuki zisizo msingi ipo kwenye thread nyingi tu zimepita humu ngoja watu wadadavue kwa busara bila ushabiki kama wako!!!!!
mkuu, niwie radhi ila una tatizo kubwa la unafki - kwako wewe 'BAADHI' ya viongozi wa cdm ni malaika na kwamba daima hawawezi kufanya makosa! yaani hata ungesikia moja kati ya viongozi hao (criteria unazijua mwenyewe) amejisaidia haja kubwa mbele ya kadamnasi usingekuwa tayari kumkosoa, sana sana ungepika kimya tu hapa jf..........rejea ishu ya kamanda lema alivyoropoka hapa jamvini bila kutumia vikao halali ndani ya chama (bila kujali tuhuma ni za kweli au la) ulisifia tu lakini kwa mwigamba ambaye naye hakutumia viako vya ndani ukaona 'kwake' ni kosa!! ukweli ni kwamba watu wa aina yako mnarudisha nyuma harakati za kumtoa mkoloni mweusi madarakani 2015, kwa nn mnakuwa biased?! au sheria zimetungwa kwa 'baadhi' tu ya wanachama? kwa nn tusikosoe viongozi wetu bila kubagua pindi wanapoteleza ili wakati mwngne wajifunze kutokana na makosa hayo? unadhani lema amejifunza chochote kuhusu kuropoka mitandaoni ikiwa mambo yamefichwa chini ya kapeti kupitia sakata la zzk?!! au kosa la lema limefunikwa na makosa ya zzk?!
Safi sana, naona kwa nondo hii, watu wataacha dharau zao sas!
Swala la Zitto lijadiliwe kwa Kiswahili...
Maswala muhimu ya kitaifa yajadiliwe kwa Kiswahili...
Swala la Zitto lijadiliwe kwa Kiswahili...
Maswala muhimu ya kitaifa yajadiliwe kwa Kiswahili...