IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Last edited by a moderator:
na mimi nawahi bodaboda yangu
mkuu naomba usinitafutie ban sidhani kama ni busara kuchanganya imani za watu na siasa
watanzania mmegeuka kuwa mazuzu. Lowasa siyo chochote ila anaumarufu wa nguvu ya pesa hana nguvu ya muna. Ache kugawa hizo fedha zake . Aache kukimbilia makanisani na misikitini home kama huko umarufu upo. Kinachowatesa baadhi ya watanzania ni kuwa na akili kama ya kuku. Tunasahau mambo kwa mda mfupi sana mtandao wa kifisadi uliomuweka baba riz hapo alipo ndiyo huohuo mtandao unaotaka kumweka mr lowasa. Sijui kama mnao ya mbele? Vijana wachache wanamshabikia lowasa wakiwa na matumaini ya kuwa pengine fadhila atakuja kuwapa baada ya kutinga magogoni lakini dhubutu lowasa hana ubavu wa kuwa rais wa tanzania hata tanganyika atamaliza fedha zake bure atakufa kwa pressure. Na ushauri apumzike maana hali yake itakuwa mbaya sana ccm wakimtosa na hata kama wasimmtosa chadema watachukua nchi mchana kweupe.
Hii ni kufuru tena mbaya sana. Huwezi kumweka Yesu katika level moja na Lowasa. Lowasa ni mwanadamu tu tena kiumbe. Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu Kamili. Unaweza usiamini hivyo lakini hiyo hainipi mimi shida. Maana ukweli hubaki kuwa ukweli hata usipoaminiwa.
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
Mkuu achana na huyo mwehu tokea mume wake zitto atimuliwe amekuwa mropokaji kama NapeRuttashobolwa akili yako iko sawa kabisa?
Usimufananishe Lawassa na YESU !!TZ needs lowasa like christians need Jesus
Huyo jamaa ni wa kumuonea huruma…Chadema wamevuruga akili yake yote na sasa anasound kama pimbiRuttashobolwa akili yako iko sawa kabisa?
NDUGU yangu unajidanganya LOWASSA fisadi wa kutupa hawezi kuwa Rais kupitia CCM labda Chadema wamechukue kama wanataka mafisadi ndio waongoze nchi.Fisadi kushika bendera ya CCM mwiko.Hizo pesa alizoiba akiwa Waziri Mkuu azipeleke chama kingine akapate urais huko siyo CCM. Kwa ufisadi wa Lowassa wana CCM tunapata mashaka kwamba tukimpa urais anaweza akauza hata ikulu pesa apeleke kwa wamasai wake.
Yaani huyo jamaa ni bure kabisa yaani ni takataka ya kutupia mbali kabisaMkuu achana na huyo mwehu tokea mume wake zitto atimuliwe amekuwa mropokaji kama Nape
Monduli is Rich! It is a next level. Hata kama ni ujinga una kikomo. Wale wote mnaomsifia Low Head Haswa mmenielewa! Kuweni makini na mtu huyu! Ni hatari sana. Anatoa wapi pesa? Atazirudishaje hata kama ni zake? Acheni ushahabiki na ulimbukeni? Au tatizo umasikini wenu ambao umesababishwa na watu na namna hii ili muwe watumwa wao milele kuanzia babu na bibi zenu, wazazi wenu, ninyi wenyewe, watoto wenu, wajukuu wenu na hata vitukuu wenu.