Mgombea Wangu wa Urais 2015 ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali walizouziwa Viongozi na Wafanyakazi

- Unajua nyie mnahitaji kunyamaza kwa sababu kwenye haya maamuzi mlihusika sana, hayo yote uliyoyataja yanapitishwa na Kamati za Bunge kwanza halafu bunge lenyewe ambalo lina Wabunge wa chama chako so hata nyie huko mnahusika!!

Le Mutuz

Mkuu, kipindi hicho wapinzani walikuwa wachache kuliko sasa. Na siyo kweli kwamba wabinge wote wa CCM walikubaliana na hili, ila ni zile kelele za ndiyooooo zinazopitishaga mambo ya ajabu kama haya.
 
Toka nimekujua kwa mara ya kwanza nimekupa "Like", nikwambie ukweli maneno ya aina hii ndio
watanzania wengi tunatamani kusikia,ila angalizo kwako hakuna mwenye ujasiri wa kulifanmya hilo
ndani ya ccm 'never'
kuwa tayari kwa mabadiliko
 
Leo umekuja kiume na hivi ndio vitu tunavyotakiwa kusikia sio uandisamu au ukali.
Ni kweli huyu wa sasa aliahidi akiwa Scandinavia nadhani kuwa angezirudisha japo inasemekana naye ni beneficiary katika hili.
Hizi nyumba hata miaka 20 ijayo au zaidi, siku moja zitarudi. Sio kitu cha ajabu kwa maana historia yetu imeshuhudia UTAIFISHAJI wa mali kitu ambacho hakikuwa kizuri lakini wengi huwa hatujui ni kwa nini Mwalimu alifanya hivyo, labda kulikuwa na mazingira kama haya ya nyumba za serikali alizogawa Mzee Mkapa!
 
Katika jambo lililonikera ni hilo la viongozi wa ccm na serikali kugawana nyumba za serikali kwa bei ya kutupa.. Na mbaya zaidi viongozi kadhaa walipata nyumba zaidi ya moja.. Na hata huyu ambae ni makamu wa mwenyekiti wa ccm nae aliuziwa japo hakuwa mfanyakazi wa serikali (wakati huo alikuwa ni katibu mkuu wa chama).. Ufisadi wa hali ya juu ule.. Kwa hili ninakuunga mkono ila ninakutahadharisha hakuna mgombea yeyote toka ccm ambae ataweza kufanya hilo..
 
Yaani Yale magofu ndio Mali unayotaka irudi? Kwanza sahau hakuna nyumba itarudi waliuziwa hawakuiba,kama mjanja waambie magamba wapindue ile mikataba ya gas na gold ambayo itahamisha billions for the next 50 yrs
 
- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.

- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?

- Nasema tena mgombea Urais atakayenihakikishia kurudisha nyumba za Serikali kwa Umma kama zilizvyokuwa mwanzoni, NITAMPA KURA YANGU YA URAIS NA NITAMPIGIA KAMPENI HATA KUANZIA LEO IF I HAVE TOO!!

Le Mutuz

Naamini ulikuwa unajua hilo ila unamuogopa mzee wako kwenda chama chenye mlengo wako.
 
Naichukia CCM, vialama vyake vyote, lirangi lake lote na maccm yake yote....Eeee Mwenyezi Mungu nisaidie!!!!
 
Kwa Mara ya kwanza Mkuu W. J. Malecela Nimekuelewa..

Na Mara ya kwanza Nimekugongea Like..

Huu ndio uzalendo..

Naomba uelewe hata mimi sichukii CCM kwa rangi zake..Bali Matendo..
 
Last edited by a moderator:
- Mgombea wangu wa Urais ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali zilizouziwa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali kuanzia na Awamu ya Tatu. I don't care what haukuwa uamuzi fair kwa Wananchi wa Taifa hili na ninasema bila kuchanganya maneno ni moja ya pungufu kubwa sana la CCM chama changu. Nilimuunga sana mkono Rais wa sasa wakati wa mbio zake za kugombea Urais nikiamini kwamba ungekuwa ndio uamuzi wake wa kwanza kuufanya akiingia Ikulu, mpaka leo nashangaa kilichomtokea mpaka kutoligusa hili.

- I mean, nyumba karibu zote walizopewa hawa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali, wameishia kuuzia Wahindi na Wa-South Africa ambao sasa wanaporomosha magorofa, ikiwa na maana hawa wanapata Pesheni za walipa kodi wananchi na hela za nyumba za Serikali walizouza na wengine wameingia ubia na hawa wajengaji, kwa kitu gani cha ajabu walichokifanyia Taifa?

- Anayeiweza vita hii ya kurudisha nyumba zetu hizo kwa tanzania ya leo ni DR SLAA tu!
 
W. J. Malecela
Wewe ni mtu mzima, (ofcourse, you are above 50 years )
Yaani katika Failures zote za Serikali ya CCM wewe umeona hii ya Nyumba za Serikali tu ??
Wewe unahitaji kupelekwa kwa nguvu kwenye mikutano ya M4C - OPD
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakuu tuelezane kiroho safi kabisa, hawa Lb7 a.k.a maccm kwanini hawaonekani kwenye mijadala ya kujenga taifa au kukosoa serikali kama hii badala yake huandamana na kupolomosha matusi kwenye mijadala ya Chadema
Hebu angalia naye huyu le mutuz kaweka thread nzuri lkn kachangia mala moja tu,maskini ya Mungu watakuwa wamem pm wamemtisha mbaya naye kwa woga kaufyata mithili ya mbwa joke kwadume

Nacho sema mtu unayeanzisha Uzi hapa lazima uludi kutoa mrejesho au majibu kulingana na maswali na michango iliyotolewa na wachangiaji wengine sio kutokomea mithiri ya kibaka aliye kwapua sehemu huko kama huliwezie hilo usianzishe Uzi hapa nenda facebook aalah

Nanyie pro ccm lazima mjitambue sio vingozi wenu wanawanywesha viloba ms kuwambia tukana cdm nanyi mnafanya kweli wakati Chadema ni mtetezi wa wote wale wasio wanachama na wanachama na watz kwa ujumla. Yangu ni hayo tu
 
Le Mtuz big up kwa kuamka usingizini marekani inatakiwa uweunatoa mada kama hizi kila mara na hasa kwa blog yako.
Sio kuponda kazi nzuri inayofanywa na wapinzani wenu.

- Kaka kwa nini mnajaribu kujifanya hii ni hoja yenu Chadema wakati maamuzi ya kuuza nyumba hizi mlishiriki? Hizi nyumba zimeuzwa kwa ruhusa yenu bungeni so mnyamaze CCM tuna tabia ya kuambiana ukweli sio kama kwenu huko mtu akisema ukweli tu basi anakuwa pandikizi, mamluki, msaliti mhaini halafu inakuja kugundulika kuwa kumbe Viongozi wenu wote ni sawa tu wachumia tumbo kazi kuvuta pesa za Mkono na Rostam,

- Mnyamaze tu hapa hamna cha kuchangia maana wote huko mnanuka rushwa Chadema nzima ni rushwa tupu, hili la nyumba haliwahusu maana mlihusika sana kwenye kuamua kuziuza najua hata Kiongozi wenu mmoja mkuu na yeye allipata nyumba hizo ameuzia wa-South Africa, nyamazeni!!

Le Mutuz
 
Hivi wakuu tuelezane kiroho safi kabisa, hawa Lb7 a.k.a maccm kwanini hawaonekani kwenye mijadala ya kujenga taifa au kukosoa serikali kama hii badala yake huandamana na kupolomosha matusi kwenye mijadala ya Chadema
Hebu angalia naye huyu le mutuz kaweka thread nzuri lkn kachangia mala moja tu,maskini ya Mungu watakuwa wamem pm wamemtisha mbaya naye kwa woga kaufyata mithili ya mbwa joke kwadume

Nacho sema mtu unayeanzisha Uzi hapa lazima uludi kutoa mrejesho au majibu kulingana na maswali na michango iliyotolewa na wachangiaji wengine sio kutokomea mithiri ya kibaka aliye kwapua sehemu huko kama huliwezie hilo usianzishe Uzi hapa nenda facebook aalah

Nanyie pro ccm lazima mjitambue sio vingozi wenu wanawanywesha viloba ms kuwambia tukana cdm nanyi mnafanya kweli wakati Chadema ni mtetezi wa wote wale wasio wanachama na wanachama na watz kwa ujumla. Yangu ni hayo tu

- Kaka tuliza boli huwa ninashindwa sana kuja hapa kujadili na watu kama wewe wasiokuwa nan uelewa kabisa, Chadema mumehusika sana na kuuzwa kwa nyumba hizi so nyamaza!!

LE Mutuz
 
Ndugu yangu ujumbe wako Leo mzuri,

Sasa nachosikitika ni kwamba wewe umeona nyumba tu. Je madini, gesi, bandari nk
Mimi nazani cha muhimu ni kuondoa mfumo mzima na chama na kukipa kengine
 
Read between lines!!!! Vita vya Urais kwa Magufuli vimeanza!! Pro makundi!!! Ila kama huna side Le mutuz leo umekuja na bandiko la maana sana!!! Hongera sana mkuu kwa kufunguka kizalendo.
 
Ndg yangu Le Mutuz kumbe na ww huwa una point wakati mwingine?
Nikiri kwamba tangu nikufahamu humu jukwaani leo ndo nashuhudia ukitoa point ya maana kwa watz
Mim nilijua ushabiki wako umekufanya uwe mpofu milele.
Hongera kwa kuiona changamoto hii japo it is too late
 
Le-Mutuz Hivi ile ya Seaview Upanga ya Mzee Malicela haikuwa mali ya serikali? Zingine kula Masaki na Oyesterbay siku hizi zimegeuka kuwa Bar kila siku jioni wanatoa viti nje na kufungulia mziki wa sebuleni wajanja tunakula bia na upepo wa baharini!!! huku difender za police zikipita kutupa uakika wa usalama wetu
 
Back
Top Bottom