M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

hatujajaza wamekuja wenywe hapo ndo tunapotofautiana na ninyi huwa mnakuja na kundi la wajinga wenzenu kutoka mitaani hawa ni wapiga kura daftari la wapiga kura lirekebishwe uone kama ni watoto au wakubwa.......najua unaumia kiasi gani ila sio kosa lako we chukua tu hizo buku 7 kale na ndugu zako umeshachangia
 
Nimesikia matangazo kuwa leo yuko hapa Wilaya mpya ya Besega. Karibuni sana tunawasubiri
 
Nyie endeleeni kujifariji nadhani hamujui Wassira vizuri.
Hapo ndipo mtamjua kwanini anaitwa Tyson.
 
Nimesikia matangazo kuwa leo yuko hapa Wilaya mpya ya Besega. Karibuni sana tunawasubiri
 
M4C-OPD imefika jimboni kwa Mh Nimrod Mkono?. Mnapita kote lakini jimboni kwa huyu tajiri wa kutisha NO. Kwanini?
 
kwa heshima na taadhima naomba kuwe na operation kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.yasije yakajitokeza ya Raila.moja ya sababu ya raila kushindwa ni kutokuhamasisha wale wanao muunga mkono na kuvimbiwa na umati wa watu.Kenyata alianza vizuri kwa kuliona hili.Ninaliona hili kama changamoto kwetu.vijana wahamasishwe kujiandikisha ni kuanzia wale ambao watatimiza umri wa kupiga kura

WELL SAID SIR.KAMA KUANDIKA UMEANDIKA,KAMA KUPANGA HOJA UMEIPANGA IKAPANGIKA.CKU ZOTE NAWAPENDA WATU WENYE MAWAZO CHANYA KAMA YAKO YENYE KUITAZAMA TAnzania tunayoitaka.naunga mkono hoja 100percent
 
Mjomba waite wakalishe chini,waondoe hofu wambie wao hawamo,japo nao walikula.(mrisho mpoto.aka mjomba).huu ni usemi tu sasa wataisoma namba na zile story za kusema chadema inakufa naona kimyaaaaaaa.lumumba where u we miss u.au hapasomeki hapa?hahahahaaaaaaaaaa.chadema ni nomaaaaaa.ukimwaga mboga tunamwaga ugali theni tunatoboa sufuria.nyinyiem mpooo.nyosheni vidole tuwaone.
 
Nyie endeleeni kujifariji nadhani hamujui Wassira vizuri.
Hapo ndipo mtamjua kwanini anaitwa Tyson.

Anajulikana kwa kupanga kuua Chadema, kwa kuiba kura na kwa kurubuni watu. Hana lolote zaidi ya utapeli wa kisiasa tu, ndiyo upinzani
palimshinda
 
Sasa unataka kutudanganya kuwa huo ni umati. Picha ya kwanza na ya pili ni ileile umegeuka kidogo halafu ya tatu ukaenda upande wa pili. Uwanja wenyewe sio mkubwa nadhani hata biafra wa dar ni mkubwa. nawe waona fahari kupigwa domokaya wakati wenzako wanaruka na chopa na wanalala hoteli kubwa kubwa kila mtu na wake....Hebu tuone kama picha ndio tafsiri ya taswira...
M4C-OPD: PICHA, ONLY PICHA! BUNDA KWA STEPHEN WASSIRA

View attachment 135923
Maelfu wakimsikiliza Dr. Slaa akimnadi mgombea udiwani kata ya Nyasura, Bunda

View attachment 135925


View attachment 135926
Polisi wanatoa ushirikiano mzuri kabisa kwenye mkutano huu wa M4C-OPD


View attachment 135928
Dr. slaa akimnadi mgombea udiwani kata ya Nyasura, Bunda


Source: chademadiaspora
 
Chadema wanafanya kazi. Hatuna budi kukubali na kuwaunga mkono kwa kutimiza wajibu wao wa kisiasa kwa jamii ya watanzania. Kwa bahati mbaya Wajinga wanabeza! Jamani sijui kuna watanzania wengine akili hawana! Hata kujifunza kwa kuangalia picha tu hawawezi, je hivi bila picha kwa maandishi tu wanaweza kuelewa? Badilikeni, kama hamuwezi kubalidilka hamkustahili kuitwa binadamu, hata kundi la ndege tunakuwa na mashaka. Hata mawe hubadilika.
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

du aya papaa, ila umekuja kihalali au umezamia? halafu angalia post zote wewe ndio umeandika ugolo na kiswahili chako huko. tena acha kabisa kuzungumza udini kwenye nchi yetu, peleka huko huko kwenu.
 
Back
Top Bottom