dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,849
- 2,038
Dr. Bana ndio nani ?, Mtaalamu wa Sampuli za Takwimu za Kisayansi ? ... au..... ?
Jina lake linafanana na kaJIKO ka kuchemshia kemikali ukiwa maabara
Benson Bana~ = Bunsen Burner
Dr. Bana ndio nani ?, Mtaalamu wa Sampuli za Takwimu za Kisayansi ? ... au..... ?
Kuleta vurugu na kuchochea machafuko kwa kutumiwa na nchi za magharibi.Mkuu tulia kwani lego la mwanaharakati ni nini?
Dr Bana akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha Hot Mix EATV amesema twakimu za tume ya jaji warioba sio za kisayansi na zisitumike kuafanya majumhisho ni kama za kipima joto cha ITV pia ameendelea kusema kuwa hata waliokuwa wakiziandika watakuwa walikosea kwa sababu hawakuchukuwa sampuli.

kwa mtu yoyote ambaye ni msomi na anajua nini maana ya tafiti(research),na kama amefuatilia mjadala ule hatapinga ile kauli,ameelezea kisomi na ule ndio ukweli kwa atakaepinga uelewa wake wa research lazima utakuwa mdogo.
Uzuri wa dk bana husema ukweli hata kama ni mchungu kiasi gani yeye huusema tu.
anatetea ugali wake anaogopa yasimpate ya baregu.
anatetea ugali wake anaogopa yasimpate ya baregu.
Mkuu unakumbuka Ridet?Bana alikuwa ndio mtaalam,anaamini zile ndio zilikuwa takwimu za kisayansi
Ukweli daima utawatesa sana chama chenu bana kasema ni chama cha kianaharakati hamna jipya bavicha kwisha habari yenu.Umebaki na kelele hoja zimekuishia pole sana wapiga kelele hahaha...!
Mkuu kila jambo na wakati huwezi kumpangia aseme lini na wapi huu ndiyo wakati wake murua tulia awape za uso mkuu.Leo ndio amelijua hilo mbona kabla ya JK kuhutubia alikuwa kimya hawa wasomi wanaipeleka nchi kubaya.Baada JK kukosoa wote wanajifanya kukosoa,kwanini awakufanya hivyo kabla?kwahiyo walisubri waone Jk kaelemea upande gani hili nao watoe comments zao?
Hata hivyo amechelewa sana kuunga mkono hotuba ya Jk kiasi nilianza kufikiri labda ametemwa na ccm. Na sikutegemea kitu tofauti na hicho alichokiongea.!