Recent content by mtamanyali

  1. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sitasahau jinsi bangi ilivyonipa ujasiri wa kuwa mwendawazimu

    Story yako inauongo mwingi sana
  2. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    'The instant way to lose your happiness is to compare yourself with someone else' -Unknown
  3. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania How to stop being constantly tired and unable to focus?

    Why can't you sit down and get things done? what's the reason you are not motivated to work on your goals? to answer these questions we need to learn a little about the human brain. The brain stayed pretty much the same for thousands of years. We still run on the hunter-gatherer system which...
  4. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Suala la kusoma falsafa ni la kila mtu aliyehai na anayejua kusoma na kuandika. Mimi natamani hata mitaala ya degree mwaka wa kwanza wote watu wasome falsafa halafu mwaka wa pili na watatu waendelee na mambo yao. Falsafa ni msingi wa Maisha.
  5. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kizazi Cha kwanza (First Generation) Huwa mgumu sana

    Mkuu utajiri sio ubinafsi utajiri ni maamuzi hata wewe unaweza kuwa tajiri. Na labda niwaambie kitu hata kama pesa zilizopo kwa matajiri tukagawana wote na kila mtu apate chake baada ya muda mfupi zitarudi tena kwa matajiri. Hivyo utajiri ni maamuzi na kufahamu njia za kupatikana kwa fedha...
  6. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

    There is the infirnity power that run the universe. And this power is older than the concept of God.
  7. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere amchana Mo Dewji

    kwa hiyo kama matajiri wengine hawafanyi na yenye asifanye
  8. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Kanuni saba za maisha

    Life give you what you give. This is the prime route to existence
  9. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    Hypocrisy
  10. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Ni utani tu, don't take it serious
  11. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nahitaji kujijengea utamaduni wa kusoma vitabu

    Soma the Archemist na pyscho-cybernetics
  12. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

    Umemtendea haki sana Alhaji Malik El-Shabazz kwenye DP.
  13. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

    Siku hizi ukisema kitu chochote cha kushauri unaitwa Sukuma gang sio vizuri kabisa. JPM alifanya mengi tu mazuri hata kama alikuwa na mapungufu
  14. mtamanyali

    JamiiForums Tanzania Obama, Hillary Clinton, pamoja na vyombo vyao vya habari Walikua wanamchukulia Gaddafi alikuwa dikteta

    Mtoa mada upo vizuri achana na kina Uncle Tomy. Brainwashed great sinkers .
Back
Top Bottom