Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Nawasalimu kwa jina la JMT.
KAZI IENDELEE.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu...
Kuna kanuni saba za maisha
1. Siku zote ishi katika uhalisia wako (reality of nature not imitated one)
2. Heshimu itikadi na imani ya mwenzako kwa kuzithamini
3. Kuwa na uwezo mkubwa wa kutunza siri ya mtu.jambo la kutunza siri sio jambo la kitoto wengi wamevunja mahusiano yao kutokana na kushindwa kutunza siri ya rafiki au mwenza wake.
4. Ishi ukitambua kwamba kila mtu, anauhitaji na shida bila kuangalia tajiri au maskini(wote wanahitajiana)
5. Kumbuka siku zote za maisha yako mapenzi hayalazimishi(if you want to shorten your life,just try it harder)
6. Busara na utu siku zote utakufanya kuwa mtu wa watu(loved and missed one in your absence)
7. Wapende watu wote bila kujali wala kubagua dini,imani,itikadi,kabila wala rangi au rika au jinsi.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Wakuu karibuni tuongeze muda ea kuishi kwa kuongezea sheria nyingine. Za maisha.