careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
Naombeni mnisaidie aina ya vitabu vya kiswahilina kingereza ambavyo vinaweza kumvutia anayejifunza kusoma vitabu vyenye mafunzo pia.
Mkuu samahani naomba usahihishe hapo. "No Longer At Ease"Things fall Apart: Chinua Achebe
No longer At Ease: Cyprian Ekwensi
The Beautiful Ones are Not Yet born.
Cry The Beloved Country
Mashimo Ya Mfalme Suleiman
Kusadikika.
Saikolojia+maishaUnataka mafunzo ya aina gani?
Vitabu vya saikolojia na kujitambua. KiswahiliMkuu samahani naomba usahihishe hapo. "No Longer At Ease"
pia ni kazi ya Chinuo Achebe
Ila mleta uzi angeelezea aina ya vitabu anavyo vitaka. Kuna vitabu vya hadithi za kutunga, simulizi za kweli, riwaya ya kipelelezi n.k.
Pia kuna vitabu vya maarifa kama sayansi, teknolojia na ufundi. Aeleze vilevile lugha anayoipendelea ili apate ushauri wenye manufaa kwake
Soma the Archemist na pyscho-cyberneticsSaikolojia+maisha
Anza na "The Street Lawyer"View attachment 1802106
Naombeni mnisaidie aina ya vitabu vya kiswahilina kingereza ambavyo vinaweza kumvutia anayejifunza kusoma vitabu vyenye mafunzo pia.
Njoo PMView attachment 1802106
Naombeni mnisaidie aina ya vitabu vya kiswahilina kingereza ambavyo vinaweza kumvutia anayejifunza kusoma vitabu vyenye mafunzo pia.
Inaonyesha uliishia kidato cha nne Mjomba umekariri kweli kweli [emoji3][emoji3]Things fall Apart: Chinua Achebe
No longer At Ease: Cyprian Ekwensi
The Beautiful Ones are Not Yet born.
Cry The Beloved Country
Mashimo Ya Mfalme Suleiman
Kusadikika.
Vipo online au nikanunue wap? Asante sanaAnza na "The Street Lawyer"
Ukikimaliza soma "Who will Cry When I die" cha Sharma
Pia usome cha "The Richest Man in Babylon"
Asante sana!Kusoma na ku-apply kile ulichokisoma ni mambo mawili tofauti. Unaposoma jifunze pia kufanyia kazi kile unachokipata katika vitabu husika. Ni changamoto kwa kuanza maana utaonekana mtu wa tofauti na baadhi kuanza kukutafsiri tofauti kuanzia mtazamo na tabia pia.
Vitabu vina msaada mkubwa sana hasa ukiwa na lengo linaloeleweka na kulisimamia, tofauti na kusoma tu vitabu vya aina fulani bila kujua nini unataka kufahamu kwenye kitabu husika.
Unasoma vitabu vya saikolojia na maisha hakikisha umeiandaa saikolojia yako na mwili wako kupokea vitu vipya na kuwa tayari kuendana navyo na kuviamini pia.
Anza taratibu na usiwe na shahuku sana kupita kiasi maana unaweza poteza interest ya kusoma ndani ya muda mfupi sana kwa kutokupata unachokitaka kwa wakati huo. Wataalamu wanasema unahitaji kusoma kitabu kimoja tu ili kubadili maisa yako yote, mtihani huja katika kukijua ni kitabu gani hicho kimoja kitakachobadili maisha yako na hapo ndipo usomaji wa vitabu vingi uanza kwa lengo la kupata hicho kitabu kimoja.
Kuwa flexible katika kujifunza. Unaweza kutana na kitabu cha saikolojia au maisha kinaelezea masuala ya biology, physics au chemistry uliyoiacha huko nyuma, so kubali kuingia tena darasani kugusa kila eneo ili concept ziweze kukaa ipasavyo.
Nilianza kusomaga makala za kwenye blogs, forums (JamiiForum, Quora, Reddit pia).
Kitabu cha kwanza kuanza kusoma ilikuwa ni "THINK AND GROW RICH" By Napoleon. Hichi ndiyo kitabu kilichofungua ulimwengu mwingine katika maisha yangu. Baada ya hapo kilichofuata ilikuwa ni "16 LAWS OF SUCCESS" By Napoleon.
Unaweza kuzipitia pia. Kusoma vitabu ni njia nzuri ya kuutambua ulimwengu kiujumla.
Kila la kheri.
Mkuu samahani naomba usahihishe hapo. "No Longer At Ease"
pia ni kazi ya Chinuo Achebe
Ila mleta uzi angeelezea aina ya vitabu anavyo vitaka. Kuna vitabu vya hadithi za kutunga, simulizi za kweli, riwaya ya kipelelezi n.k.
Pia kuna vitabu vya maarifa kama sayansi, teknolojia na ufundi. Aeleze vilevile lugha anayoipendelea ili apate ushauri wenye manufaa kwake
Ngoja waje kukupa muongozo...

[emoji120]Unaweza pia kujiunga kwenye group la Dar book club kwa kuingia kwenye website