Recent content by mtalii

  1. M

    Mfungo mtukufu na kufungulia radio kwa sauti ya juu

    Mods tunaomba muwachukulie hatua hawa watu wanafanya dhihaka na kejeli kwenye jina Mwenyezi Mungu muumba.
  2. M

    Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

    Kwa kuwa mwenyewe Dr Slaa yumo humu ajibu hili itasaidia sana kwa sisi wananchi wa kawaida ambao tunaamini kuwa huyu ni shujaa wa kutokomboa kutoka kwenye makucha ya mafisadi. sasa kama haya yataachwa hivi hivi bila maelezo kuna hatari ya kuruka maji na kukanyaga matope halafu tunayatamani...
  3. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Pole SANA Mkandara, it took u so long kuwajua hawa. Mie nilishawajua dhamira zao kitambo. Ndio ukubwa huo, "kua nawe uyaone oooo" ( Zahir Ally - Zoro )
  4. M

    Salma Kikwete na WAMA vipi?

    Lunyungu, Msikiti alio jenga Dr Dau kwa pesa za NSSF Dodoma upo wapi? Huna haya unakanusha suala la Batilda nani asie jua kuwa Nakandamiza Kibara ndio wewe Lunyungu? acha zako hizo unafahamika kwa udini unachafua watu pasi na sababu yeyote
  5. M

    Salma Kikwete na WAMA vipi?

    Kumbe na wewe umemstukia eeeh... huyu Lunyungu ni MDINI kazi yake kushambulia viongozi waislam tu. Alianzisha thread ya kizushi hapa eti NSSF inajenga msikiti Dodoma kupitia pesa za wananchama wake. Alipabanwa kashindwa kuthibitisha sasa ni zaidi ya mwaka hatuona msikiti wala madrasa! Akaja na...
  6. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Unaporipoti tukio unaliripoti kutoka na mtitiriko ulivyokuwa.ikiwa sikukuu ya uhuru kama kuna magazeti yameandika kitatofautiana kichwa cha habari tu lakini habari itakuwa kama ilivyokuwa. ukiripoti mpira kama goli alifunga DROGBA kila gazeti litaandika kuwa ni DROGBA. Huwezi kuumuliza...
  7. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Rest In Peace Chacha Wangwe. Habari lazima zifanane sababu zinazungumzia tukio moja, lazima kuna maneno mengi ya kufanana. kama magazeti yote yamesema habari inayofanana isipokuwa gazeti la MBOWE(Tanzania Daima) basi tufuate magazeti mengi kuliko kufuata gazeti la Mbowe ambalo haliwezi...
  8. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    The post has been quoted so that people can read between the lines and know what exactly ES said on the same personality..... Sometimes it is best to leave the facts stand on their own...
  9. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Ewe bibi unadanganya watu wazima? ukidai umekutana na mtu mara kibao na kisha baadae kudai humjui ni tofauti kabisa na kufananisha na issue za divosi, hapo ni kubadilika misimamo, mimi nikisema nakufahamu na tumeshaonana mara kibao na baadae kwenye issue nyigine nikasema sikufahamu kabisa HUO...
  10. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Duniani hakuna kitu kibaya kama ushabiki manake unaweza kushabikia kitu bila hojas, hapa hii hoja haina msingi kabisa katika kutetea uongo wa ES manake kama misimamo hubadilika kimsingi misimamo hubadilika kwenye maoni, ie mtu ukiamini anafanya kazi nzuri baadae waweza amini kuwa hana...
  11. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    waungwana: vipofu wawili hawaelekezani njia!! tunachokifanya hapa ni kujaribu kupapasa upande mmoja wa tembo na kuchukua azimio la jumla kuwa tembo ni kama kitu fulani [kutegemea na ulivyoshika] manake sasa tunaanza porojo za jamaa wa usalama anashinda bar, anaenda ofisi sijui anafanya...
  12. M

    SFO wanatuchunguzia serikali yetu au yao?

    Maswali ya mtunzi wa mada hii ni sahihi, jibu rahisi ni kuwa SFO wanachunguza kampuni yao ya BAE ambayo inahisiwa kuwa na mianya ya rushwa. Lakini kuna legitimate collaboration ''ushirikiano halali kabisa'' ambao unaashiria kwamba Tanzania na vyombo vyake pia wanafursa nzuri ya kunufaika na...
  13. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    nadhani sasa jamani tumeshasema na kuandika vya kutosha... hebu tufanye majumuisho na kuweza kumove on... Somehow nimegundua kuwa kichwa cha habari kimebadilishwa...hii ni bahati au ni kitu gani? je kuna uhusiano wa kubadili kichwa cha topic na kushindwa kwa hoja kwa mtoaji? for reminder...
  14. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Napinga sana Chenge kuachiwa aendelee kama business as usual minister, yaani frankly nashindwa kuona ni vipi Chenge anaweza kukaa nyumbani kusubiri gari ya ofisi, kisha aende kazini kufanya kazi bila kuzongwazongwa na tuhuma hizi. It will be best if steps down for our nation's sake! Hata...
  15. M

    Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

    Mwenyekiti wa chama cha upinzani nae anafanya wizi huu. ni suala la muda tu.
Back
Top Bottom