Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
986
Points
1,225

Quemu

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
986 1,225
Huyu jamaa kweli kichwa ngumu. Yaani huko Dallas aliharibu sana mwanzoni mwa miaka ya 2000, mpaka wakamfunga. Walipom-deport akakimbilia U.k. Huku nako ndio hivyo....Duh gademu!!!

Police smash alleged luxury car theft ring
Mar 17 2008

By Jeanette Oldham


POLICE have smashed a suspected £1.5 million car-ringing scam which involved the theft of luxury vehicles from leafy Midland areas.

Detectives uncovered the huge fraud, which echoes the hit Hollywood movie Gone In 60 Seconds. One suspect, Mponjoli Malakasuka, was arrested last year after traffic cops ran a routine check on his Mercedes and found it had been reported stolen.

He lives in a £250,000 home, in Aster Way, Walsall, and tied the knot in an elaborate beach wedding in Florida in 2002.

After his arrest Mr Malakasuka, 35, was quizzed about being involved in the theft and exportation of dozens of stolen vehicles, including BMWs, Range Rovers and Aston Martins.

He has now been charged with conspiracy to steal and is due to appear at Wolver-hampton Crown Court on April 23.

Leading Midland business figures are believed to be among the victims of the gang, whose alleged crime spree ran from November 2005 to October 2007.

Cars were stolen from rural and wealthy Midland areas and then exported in sealed shipping containers to Tanzania and Kenya.

The gang is said to have employed the services of unsuspecting freight forwarders, who made arrangements with various shipping companies to export the cars.

A police source said: "Mr Malakasuka was arrested in an apparently stolen Mercedes after officers ran a PNC check on the car.

"His home was then raided and various items were recovered."

Mr Malakasuka, a Tanzanian national, is believed to have come to the UK via the US in 2004. Until his arrest, he worked for a Midland car parts company, earning between £17,000 and £20,000-a-year.

There was no answer at his four-bedroomed detached home on Friday, where a 'for sale' sign has been up for several weeks. There were no cars on the drive.

A neighbour shown a picture of Mr Malakasuka said he recognised him as the man who had lived nearby for about two years.

The theft of prestige cars is a lucrative international business.

A London-based gang arrested in 2006 was found to have been stealing 120 prestige cars a month, mostly Mercedes. They would strip them down to spare parts, pack them into containers and despatch them to Nigeria. One policeman compared their methods to "an industrial production line".

Repatriation agencies, who collect rewards for stolen cars, brought about 1,000 vehicles back to Britain in 2006.

They employ spotters in places such as Cyprus, Dubai and Spain, looking for suspicious UK-registered cars.

In recent years, overall car theft has declined in Britain. Of 180,000 vehicles stolen in 2006, 48 per cent were later recovered. The rest were scrapped for spare parts, given a false identity, or shipped abroad.
 

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2007
Messages
800
Points
225

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2007
800 225
Mh, hii kaazi kweli kweli. Dogo alikuwa anasifika sana bongo kwa kupeleka magari miaka ya nyuma, ooh anakumbuka ku invest home, kumbe yuko kwenye car theft syndicate? Duh noma.
 

mtambo

Senior Member
Joined
Jan 14, 2008
Messages
112
Points
0

mtambo

Senior Member
Joined Jan 14, 2008
112 0
Huyu jamaa kweli kichwa ngumu. Yaani huko Dallas aliharibu sana mwanzoni mwa miaka ya 2000, mpaka wakamfunga. Walipom-deport akakimbilia U.k. Huku nako ndio hivyo....Duh gademu!!!
Maisha ni vita vya kwenda mbele. Hongera Malakasuka

Wazungu waliiba sana mali zetu kipindi cha zamani na sasa ni zamu yetu kuiba na kurudisha mali zetu Africa.
 

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
10,893
Points
2,000

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
10,893 2,000
Wazungu waliiba sana mali zetu kipindi cha zamani na sasa ni zamu yetu kuiba na kurudisha mali zetu Africa.

Mhhh usijidinganye ndugu yangu, sasa hivi ukinyanyua mguu ukitoa wataalam wanapakanyaga hapo hapo ulipoacha alama ya mguu.

Polisi wa Uingereza ni namba moja kwa uchunguzi na wanaweza kukupa hata miaka nawe ukajisahau.
 

TechMaro

Senior Member
Joined
Feb 8, 2008
Messages
102
Points
170

TechMaro

Senior Member
Joined Feb 8, 2008
102 170
Duh Mtambo acha hizo....
Huyo ni mwizi wa kawaida tu, hakuna kurudisha mali nyumbani...
Kwanza angalia eti anaishi kwenye jumba la pounds 250,000. Hizo ni tamaa, and tanzania hatuwahitaji watu wa sampuli hiyo...
 

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2007
Messages
980
Points
1,225

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2007
980 1,225
Kwanza angalia eti anaishi kwenye jumba la pounds 250,000. Hizo ni tamaa, and tanzania hatuwahitaji watu wa sampuli hiyo...
msikaji hiyo ni nyumba ya kawaida tu,usitishike na bei,kwanza halipi cash,analipa kidogo kidogo kila mwezi kati ya pound 200 mpaka 400,tena inategemea na muda wa mkopo
 

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,260
Points
1,195

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,260 1,195
I do not condone wizi wa aina yoyote lakini Im standing up right now with my hat off for this guy, simjui lakini he must have some brain and a tough heart,he deserve some credit.
 

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
986
Points
1,225

Quemu

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
986 1,225
I do not condone wizi wa aina yoyote lakini Im standing up right now with my hat off for this guy, simjui lakini he must have some brain and a tough heart,he deserve some credit.
KKN:

Kama wizi ni fit kwenye professional job categories, basi huyu jamaa ni ndio prefessional yake kisawasawa.

Mponjoli alikuwa na vurugu sana kule Dallas. Yaani dili zote unazozijua wabongo wanacheza hapa U.S., yeye kazicheza na zaidi. Kuanzia dili za tax returns, credit cards, mpaka SSN za wafu. Alikuwa mtaalam wa short-cut mpaka akapachikwa hadhi ya u-dr. Ni mjanja kwelikweli....well, in a negative way.

Walim-deport marekani baada ya kukamatwa bank. Alikwenda upfront kwa teller ku-withdraw over $100,000 kwa kutumia ID feki (story za mitaani zinasema hivyo).

Naona baada ya kutua bongo, akakimbila U.K. Nako hakuchukua muda kuendeleza fani.

No doubt, the guy is a professional thief
 

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Points
1,225

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 1,225
Duh Mtambo acha hizo....
Huyo ni mwizi wa kawaida tu, hakuna kurudisha mali nyumbani...
Kwanza angalia eti anaishi kwenye jumba la pounds 250,000. Hizo ni tamaa, and tanzania hatuwahitaji watu wa sampuli hiyo...
Mkuu TechMaro,

Nyumba ya pounds 250,000 UK ni nyumba ya kawaida sana. Nimeshangaa hata mwandishi wa habari kaweka habari za nyumba kama issue.

Nafikiri kwasasa nyumba ya wastani, ambayo ni vyumba vitatu inagharimu
pounds karibu 200,000.

Nyumba ya pounds 250,000 sio ya kifahari kabisa. Labda kama alinunua cash
lakini kama ni mortgage hiyo nyumba angeweza kununua hata kwa kazi yake iliyotajwa hapo ya kuuza vifaa vya magari.

Watanzania sasa tunawakimbilia Wanigeria kwa madudu kuanzia wizi wa magari, unga mpaka wizi wa credit cards. Wacha wengine tuendelee kuhangaika na mabox
angalau ni pesa ambayo tunajua haiwezi kutuletea matatizo huko mbeleni.
 

Forum statistics

Threads 1,379,573
Members 525,451
Posts 33,749,512
Top