Recent content by mtakatifu20

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanawake wanavyoteswa na waume zao

    Acheni upuuzi nyie hapo mwanamke wapi kateswa? Hivi nateso wanayo pata wanawake kwa mfano musoma yanazidi ya waznz? Nadhani mna lenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Airtel mmeamua kutusaliti?

    Acheni kulia lia jamani nyie mnafhani gharama za uendeshaji zimepanda wao watabaki na bei hiyohiyo tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    Vyote famba
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Najiuliza mtaji wa biasara yake kubwa hivi kapata wapi? Au ndio hizi tetesi chini ya kapeti yeye ndie alie wachoma weziwe? Maana wenzake wamekufa na kama wako walio hai wapo hoi ila jamaa yupo fiti je kulikoni?????
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni mapumziko au ni nini???

    Airtel ni baba lao we kua mpole tu kumbuka leo kila mtu yupo free hivyo watu wanapiga sana cm. Airtel Yatosha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    Narudia jamani kina shabani, zuberi, saidi hicho chama hatakiwi waachieni wenyewe mtauwawa bure shaurienu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tumpe uenyekiti Prof Safari Na ukatibu mkuu apewe Mh John Mnyika.

    Je kanisa litakubali???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    Huoni maofisi karibu 98% yanapambwa kusherehekea kuzaliwa yesu? Sie tushaumia wagalatia wameshika hatamu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Mnazunguka tu chadema ni chama cha kanisa muislam milele kwenye chadema hawi kiongozi mkuu mtamzushia majungu tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

    Mahakama ya kadhi itakuja tu waliopo madarakani wanachelewesha tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Chadema mwislam daima hana safari yote ambiiwayo Zito ni Uislam wake umemponza leo Watu hamuhoji kwa kwa Mzee Arif kajitoa kanisa limeamua kua nyuma ya kanisa hongera crused
  12. M

    JamiiForums Tanzania Macho yanachekaa moyo unaliaaaa!!!!

    Jamani hayo ni mashairi ya wimbo Taarabu ulioimbwa na Bi shakila kutoka Tanga.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tv imaan yapata kibali rasmi

    MNYISANZU@ Chuki yako kwa waislam haitakusaidia kitu wewe kila kitu kinachohusu uislam wakisema vibaya hivi waislam kua na Tv pia roho yakuuma? Sasa chukia mpk upasuke Uislam utakuepo Daima dumu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais kikwete atembelea wagonjwa muhimbili

    Anajaribu kulinganisha hosp aliotoka na za kwetu. Ili ajiridhishe kwa nini alikwenda nje
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

    Kama kiswahili kinakupa tabu poleee werevu wanajua namaanisha nn
Back
Top Bottom