CHADEMA Tumpe uenyekiti Prof Safari Na ukatibu mkuu apewe Mh John Mnyika.

Na nyie 7bk, hivi ndoto zenu mnaotaga nini? manaake saa1 - 12 day and night ni CHADEMA, CHADEMA kwani CCM Chenu kimeshakufa, au mbona vyama viko vingi tuu!

Tumechoka na msaada wenu wa kuipromote CHADEMA, rudini kwa majambazi wenzenu!
 
Utapewa Uenyekiti kwa dini yako tu, sio CDM katafuteni chama jinga huko huko kwenu, UENYEKITI WA CDM NI KWA SIFA NA VIGEZO SIO DINI HATA MKIPIGA KELELE VIPI., kwani zamu za Udini za UENYEKTI wa CCM zimesaidia matatizo ya UCHUMI Tanzania???, CDM ni chama cha UCHUMI Maaendeleo in summary, hakina agenda ya dini ya mtu. Lije jua ije mvua dini yako baki nayo.
 
Je kanisa litakubali???

Nafikiri Prof.Safari anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa CCM maana siku hizi bila kuwa Muislamu Kupata Uongozi ndani ya CCM ni Mwiko.Anayebisha nimsaidie kuwataja Wenyeviti na Makatibu wa CCM pamoja na wa Jumuia za Chama.
 
Utapewa Uenyekiti kwa dini yako tu, sio CDM katafuteni chama jinga huko huko kwenu, UENYEKITI WA CDM NI KWA SIFA NA VIGEZO SIO DINI HATA MKIPIGA KELELE VIPI., kwani zamu za Udini za UENYEKTI wa CCM zimesaidia matatizo ya UCHUMI Tanzania???, CDM ni chama cha UCHUMI Maaendeleo in summary, hakina agenda ya dini ya mtu. Lije jua ije mvua dini yako baki nayo.

Ya kweli hayo? Sasa ilikuaje yule muasisi wenu alikuwa analalamika tume ya kuratibu katiba mpya imejaa Waislamu na akanukuliwa "wao wako wengi kuliko sisi"?
 
Ya kweli hayo? Sasa ilikuaje yule muasisi wenu alikuwa analalamika tume ya kuratibu katiba mpya imejaa Waislamu na akanukuliwa "wao wako wengi kuliko sisi"?

Tume ya Katiba wengi walikuwa CCM kwa hiyo lazima wengi wawe WAISLAMU.Si unajua tena siku hizi Chama hiki ni cha Ki-Ustaadhi.
 
Mchawi apewe mtoto amlee. ZZK apewe Kaimu Naibu Makamu Mwenyekiti
 
Kheri ya mwaka mpya mwaka 2014.


Ninaomba kupendekeza safu mpya ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu ndani ya Chama.


Napendekeza wafuatao na nyadhifa zao


1/PROFESSOR SAFARI-Napendekeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimchague kwa kura za kutosha Prof Safari kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Hii,itasaidia propaganda ya ccm na washirika wake kwamba ni chama cha wakristo itakufa kifo cha mende. Hii pia itasaidia kuua hoja ya ccm na washirika wake kwamba CHADEMA inaongozwa na mwenyekiti mwenye elimu ndogo na hivyo wanakopa usemi wa mh Msigwa kwamba akili ndogo kuongoza akili ndogo.


2/JOHN MNYIKA-Huyu ni kijana machachari, mwepesi na flexible sana. Mara zote amekuwa mwenye hoja nzito, mpanguaji wa propaganda za ccm,anayeweza kufafanua mambo kwa weledi. Pia ni kijana aliye na social capital kwa vijana, wazee,wanawake na watoto. Binafsi nimemshuhudia Mnyika akilala sakafuni na wanafunzi wa Chaso katika usiku wa kuamkia kupiga kura uchaguzi mdogo wa madiwani mwezi juni 2013 kata ya mianzini jijini Dar es salaam.


3/MARRY MSABAHA-Huyu ni mbunge wa viti maalumu kutoka Zanzibar.Napendekeza huyu apewe unaibu katibu mkuu .Hii itasaidia kuua propaganda tatu za maccm. 1/Ukanda, 2/udini na 3/ubara,4/gender balance. Huyu dada ni machachari kweli kweli na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuzipangua.

4/PHILIPO MWAKIBINGA-Ni kijana mwenye maono na uwezo mkubwa wa kufikiri, mwenye ushawishi mkubwa, ujasiri na utayari wa kujitolea. Ni kijana mwenye kupenda wapate wengine yeye akose na hilo nilithibitisha akiwa rais wa Udom kupigania wanafunzi wenzake wapate mafunzo kwa vitendo na fedha za field wakati yeye hakuwa na mkopo na hivyo asingepata pesa hizo. Napendekeza apewe uenyekiti wa BAVICHA taifa. Hii itaua propaganda ya ukanda kwani MWAKIBINGA anatokea Nyanda za juu kusini jimbo la lupa wilaya ya Chunya.


5/ZAINABU MUDHIHIRI ASHIRAF-Huyu ni dada mchapakazi mahiri sana na ameonesha uwezo mkubwa kwa chama. Amekuwa mwanzilishi wa Chaso TIA-Mbeya mjini, amemnadi mgombea wa Udiwani huko Tanga kwa weledi mkubwa sana na pia anafanya vizuri sana makao makuu na sasa yuko katika utekelezaji wa CHADEMA ni msingi. Napendekeza apewe umakamu mwenyekiti BAVICHA taifa.Hii itasaidia kuuawa propaganda ya udini na mfume dume.

6/BEN WA SAA NANE-Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa katika teknolojia ya habari na pia ni msomi mzuri katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa. Napendekeza apewe ukatibu wa BAVICHA taifa.Nashauri hivi kwa kuwa Ben saa 8 Sio msemaji sana jukwaani bali mtendaji zaidi.


8/DK SLAA-Huyu ana siri nyingi sana za chama na serikali, ana busara, uwezo mkubwa wa kufikiri nk.Napendekeza apewe uenyekiti wa Baraza la Wazee taifa.


Nafasi nyingine nitashauri siku nyingine .

Zingatia ,haya ni mawazo ama maoni yangu binafsi .Pia hao niliowataja wagombee na Demokrasia ichukue nafasi yake.Ninamaana wachaguliwe kidemokrasia na si kuteuliwa.


************* Nawasilisha ***************
Pamoja na uliowataja kuwa ni viongozi wazuri LAKINI itakuwa tumefanya dhabi kubwa ambayo CCM siku zote wamekuwa wakiiendekeza ya kuacha kuwatumia watu wenye uwezo kama Prof Lipumba, Slaa, Mbowe, Lisu, Juma Haji Duni, Baregu, Shivji, Lowassa, Maerehemu Harub Othman eti kwasababu ya Dini zao, Kabila ama kanda wanayotoka... Propaganda ibaki kuwa Propaganda kwani mwisho wa uongo ni aibu...So far viongozi wa Chadema wa Sasa kasoro Zitto wanafaa na waendelee kuivusha chama kwenye vizuizi vya majangili CCM wenye kufadhiliwa na nchi zenye kufaidi rasilimali zetu! Lazima mtambue kuwa kazi ya kuing'oa CCM si lele mama... CCM wanamajeshi, wanafedha chafu, wana serial killers akina Nchemba Nchimbi ambao wakiua huwa wanajisikia wako sayari nyingine...
 
Back
Top Bottom