Rais kikwete atembelea wagonjwa muhimbili

Rais kikwete atembelea wagonjwa muhimbili

wewe umeona hilo ndio
suluhisho? kichaa chako kimesababishwa na nini? huduma za hospitali
hazifai halafu unataka watu tukae kimya? kichwa chako kimejaa
konokono!

una stress za life siyo bure. taratibu mkuu huwezi kuiletea kiburi serikali
 
matusi hayasaidii ameguswa na moyo wake wa upendo alionao kwa watanzania hamna jema nyie
 
yote ni maisha yamewabana hata huyo mnayemfikilia hatawasaidia kwa kuwapa pesa ili mumpende ww usipo mpenda ss tunampenda kiongozi wetu
 
Anajaribu kulinganisha hosp aliotoka na za kwetu. Ili ajiridhishe kwa nini alikwenda nje
 
Matokeo mabaya ya O'level mazezeta kimya, Hospitali kuwa katika hali mbaya, kukosa vifaa muhimu na madawa mazezeta KIMYAAA!!!!

na wakaz wa jimbo la ubungo maeneo ya kimara,ubungo na mbez tunanunua maji dumu moja buku 1 mazezeta kimyaaaaa!.....waheshimiwa wabunge kutumia kodi zetu kwenda kula bata dubei mazezeta kimyaaaaa!!
 
Mkuu nafsi imemsuta kujua kuwa yy kaenda kucheck afya ulaya wakati wananchi wake hwana panadol,
Nafikuri dk mzungu kamwambia mbona ww mzima kuliko wale uliowaacha pale muimbili, sasa karudi tu faster kaenda kuprove
 
kuna wagonjwa Tanzania kutokana na matatizo yao wanaambiwa wakatibiwe nje ya nchi kwa nini asingeenda nao yeye alikoenda kutibiwa
 
Mlio serikalini tuambieni kama serikali ina pesa na nini kilisababisha Mgimwa kulazwa sauzi?
 
Tpaul unaonekana huna mawazo hata kidogo na akili basi azima hata za mkeo mda mwingine unatia aibu majibu yako ya toilet alafu acha kulia.
 
Peter Tosh – That's What They Will Do Lyrics

(Chorus)
That's what your friends will do
That's what they will do
They will come with great pretense
To gain your confidence
They'll take you round the bend
And fry you in the end
(Repeat Chorus)
They will look right inna you eyes
And tell you the wickedest lies
Make you promises
But never accomplishes
(Repeat Chorus)
They will dress up inna you clothes
And punch you inna you nose
Dress up inna you shoes
And still carry false news
(Repeat Chorus)
They will know that you in jail
And never try to get you bail
And know that you in trouble
And try to make it double
(Repeat Chorus)
They will steal you only goat
And then them cutting throat
If you ever robbed
Woulda come back for you car

Chunguzeni akili zenu.
 
Yes, he was in hospital for check up, saw it fit also to visit those in hospital at home. But we would have been happier if our leaders were to get health service here at home!
 
Yes, he was in hospital for check up, saw it fit also to visit those in hospital at home. But we would have been happier if our leaders were to get health service here at home!

Very very true
 
Huyu mzee anakejeli sana watu..yaani yeye katoka kutibiwa marekani halafu eti kaenda mwaisela...si dhihaka hii

Huo ni upeo wako wa kufikiri. Kwahiyo Rais wa nchi nafsi yako ingeridhika angetibiwa wapi.
 
Ndio mazezeta hao kwa jina maarufu Buku 7 kazi yao kusifia mambo ya kipumbavu ambayo hayastahili kusifiwa wakati nchi inazidi kurudi nyuma kimaendeleo.

na wakaz wa jimbo la ubungo maeneo ya kimara,ubungo na mbez tunanunua maji dumu moja buku 1 mazezeta kimyaaaaa!.....waheshimiwa wabunge kutumia kodi zetu kwenda kula bata dubei mazezeta kimyaaaaa!!
 
Angekuwa anawajali angewabeba kwenda nao Marekani kwenye matibabu ya uhakika. Yeye kakimbia hospitali zetu kwa kujua ni bomu.

By Baba Gaude
Huyu mzee anakejeli sana watu..yaani yeye katoka kutibiwa marekani halafu eti kaenda mwaisela...si dhihaka hii
Tunaweza kusema kuwabeba kwenda nao Marekani ni gharama...basi hata waboreshe huduma za afya hakuna. Dawa za kununua pharmacy, vifaa vya vipimo vya shida. Halafu Rais watoka kuchunguzwa afya yako nje ya nchi kisha waenda moja kwa moja kuona wagonjwa wanaotaabika kwa huduma mbovu....hii ni dhihaka cjui nani anamshauri Rais wetu.
 
Back
Top Bottom