Recent content by Mswary

  1. Mswary

    Bikira za Swaziland

    Nikipata nitaenda nami kuchoropoa mmoja,,,
  2. Mswary

    Msaada wa Mtaji wa biashara 250,000

    Samahan, una levo gani ya elimu?
  3. Mswary

    Biashara ya kuponda kokoto

    Nenda Singida, inalipa pia pale.
  4. Mswary

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    Stori ya mama mmoja,,, Jamaa alikua akiendesha pikipiki kwa kasi kubwa, ghafla kufika kwenye kona flan ivi amaizing akapunguza mwendo. Hapo ndo alipodondosha kibegi kilichokua kimejaa mifedha, huyo mama hakua mbali na barabara, alipata nafasi ya kuona lile begi la fedha, na moja nyekundu...
  5. Mswary

    Nahitaji mtu wa kuniunganisha na Meneja wa kampuni ya Rostam Aziz

    Kweli, ni jambo la msingi kuja JF nadhani kuna watu humu ndani wanafahamiana na huyo meneja watakusaidia. Ila sasa kitu kingine kuusu hao madalali huoni kama ni rushwa hio na haihitajiki katika nchi yetu, hilo swala we umelichukuliaje, kwasaab hao wanaotaka rushwa ndo wanasababisha kunakua...
  6. Mswary

    Tatizo la Macho

    Ni kweli, ila sina uelewa sana, bali kuchat kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo mengi tu, ila chamsingi unatakiwa kukaa mbali kidogo na screen ya simu yako, angalau nchi 15 ili kuepuka miale ya mwanga wa simu yako. Au tumia miwani ya kupunguza mwanga. Ikiwa ni pamoja na kutotumia LED...
  7. Mswary

    Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

    Good explanation, to be honest i got the real meaning, thanks alot.
  8. Mswary

    Special for secondary school students

    Nice, keep it up [emoji115]
  9. Mswary

    Maambukizi ya VVU huchukua muda gani kuonyesha umeathirika?

    Usife moyo hata kama umeathirika, bado unaweza kutimiza ndoto zako kwa kuishi kwa matumaini. Navojua mimi miezi sita, ila nashkuru pia nimejifunza kitu kipya kua ni miezi mitatu. Hivo basi nenda kapime rafiki. [emoji4][emoji4]
  10. Mswary

    Tatizo la Macho

    Hua unatumia muda gani kuangalia TV au kuchat kupitia simu yako?
  11. Mswary

    Jeshi la polisi ladai Tundu Lisu ni mpuuzi?

    Ndo nchi yetu, mi napita tu,,[emoji4][emoji4][emoji4]
Back
Top Bottom