Bikira za Swaziland

Bikira za Swaziland

Mhh! hakuna mimba za utotoni wapi? kama ni South Africa mkuu hiyo ilikua zamani za kale ulizoishi wewe huko siyo sasa,kwa sasa kuna mimba za utotoni balaa,wee mwenyewe umeshasema hapo mwanzo kwamba hao watu katika vitu wasivyokua na hiyana navyo ni hiyo kitu, sasa hapo mimba zitakosekanaje ilihali wao wanatoa tu? mwaka jana kama sikosei kuna taarifa niliisikia kutoka BBc inayosema kwamba kulikua na mimba za utotoni zinazo karibia laki moja nchini SA peke yake.
Lakini sio Botswana angalia takwimu uone
 
Hii kitu yenye miwani ni shidaa


swaz-jpg.380108
Nimejikuta nacheka kwa nguvu mbele za watu, du mkuu wewe noma, umeona kwa nyuma tu kidogo umejua ndie kifaa?! haaahaa, kazi kweli kweli kujipendekeza kwa mwanaume utaishia kuchubua sura tu lakini bado huonekani., unasema una mkosi kumbee!
 
Mgosi Shemkunde, umefuata nini huko Swaziland?

Kwahio ukiwa na Switzerlands za kutosha, ni hoteli gani ya nyota 4 yafaa kwa vekesheni hapo Swaziland.

By the way kuna takwimu zimetoka mwaka huu zinatisha sana.

Swaziland-2015.png
Inaonekana unapenda kuharibu starehe za watu na takwimu zako za ukweli.
 
Utamaduni wao ni mzuri , kama unaweza pata bikra katika zama hizi basi ni jambo zuri.
 
Nimeishi South nimeishi na Botswana, hiki kinachoitwa Bikira naomba niwaambie wazi ni Bikira njia moja ....na zipo za kumwaga.....
Hapa kwetu ni nadra kupata bikra lakini ukipata at least ni bikra njia mbili
Mkuu sijakuelewa unamaanisha nn unaposema bikra njia moja
 
Idadi ya watu wa Swaziland ni 2 million.
Wanawake ni wengi kuliko Wanaume.

Watu wamekaa na bikira zao toka miaka 12 mpk 18. Na katika watu 10, wawili ni wanaume.

Asilimia 99% ya wakazi wa Swaziland ni wakristo na si kitu cha ajabu kwa mkristo wa Swaziland kukumkuta na wake 4...

Kifupi ile siku ya mfalme Mswati ya kuchagua bikira siyo siku yake peke yake. Ni siku ya wanaume wote wa taifa hilo la kuchagua Vimwana, kwakuwa mfalme ndiyo mwenye status kubwa basi siku ya tukio hilo camera zote hummulika yeye.

Unaweza ukaona ni kwa namna gani kile kipande cha ardhi ndani ya S.A kilivyofunikwa na roho ya Uzinzi na Uasherati.

Siku ile ya tukio inakuwa kama usiku wa machinjio ya vingunguti damu zinamwagika kila kona ya mtaa na kelele za maumivu zinazosikika kwenye madirisha yote ya Swaziland!! Alooo!!

Kelele zinaanzia ikulu mpaka kwenye kitongoji cha mtaa.

Hii dhambi kwao imehalalishwa na jambo hilo kwao ni la thamani!!

Swaziland! Swaziland! Swaziland!

View attachment 380106 View attachment 380107 View attachment 380108
Nikipata
nitaenda nami kuchoropoa mmoja,,,
 
kote huko Chenga tuu wanawake wazuri na walioumbika na migongo ya maana size zoote wapo kwa babu Mandela, Swaziland wapo cheap zaid sema sio wazuri kihivyo magari yanaongozana week end kucheza na cheap kutokea Gauteng Province..
Mfano mzuri isidingo duuuh wadada wa mule n shida...wa south wanaongoza kwa shape but km n wafupi eeeh ?
 
Back
Top Bottom