Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

MKUU UMEITETEA SANA HIYO KOZI YA KEMIA LAKINI KWA MFUMO WA NCHI YETU NI NGUMU SANA KUWA NA FAIDA KWASABABU NI GENERAL SANA NI VIGUMU MTU WA KIWANDA CHA DAWA AKUAJIRI WWE WAKATI MFAMASIA YUPO KWASABABU YEYE AMESPECILIZE KWENYE MADAWA HATA KWENYE VYAKULA KUNA WATU WA FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY KOZI ZA GENERAL ZINA HASARA ZAKE AJIRA NI ZA KUBAHATISHA SANA USIWAPE SANA MOYO WENZAKO WAKO WENGI TU WAMEMALIZA KOZI ZA SAYANSI GENERAL HAWANA KAZI
 
Kwa wahitimu wa form six napenda kuwajulisha pia wakati mnachagua degree program pia kuna program kama za bachelor's of science in. Chemistry, biology, physics, mathematics and statistics.

Watu wengi huwa wanazidharau hizi programs but ni kwa sababu hawajui vizuri undani wake na mapana yake. So vijana msikimbilie hasa kwenye programs za ushindani wakati kuna program unaweza ukasoma na ukatoka ukawa umeiva vizuri kwa maisha ya kesho..

Mwaka Jana watu walizidharau walipokosa nafasi wakaanza kusema"lite ningejua" so katika machaguo yako chagua kulingana na points zako na idadi ya watu wanahitajika...so elewa kuwa life popote cha msingi mkono unaenda kinywa..so NAWAKARIBISHA UDOM KWENYE HIZO PROGRAM
Udom nacho chuo??
 
Hizo program hazihusiani na program za ualimu...mfano kwa mtu anayesoma bachelor of science in chemistry anaandaliwa kuwa mkemia katika sekta mbali mbali mfano kwenye sekta ya viwanda kuna mambo ya production, mkemia anahusika ambapo hapo anasifa kutoka na kuwa vizuri katika course ya industrial chemistry..pia katika kuthibiti viwango vya bidhaa zinazozalishwa katika viwanda mbali mbali mfano viwanda vya bia, madawa, soda na maji hii ni katika field ya quality control and assuarance, pia katika mambo ya drug discovery and design mkemia anahusika kwa sababu ya kuwa na knowledge kwenye field ya medicinal chemistry...pia kwenye analysis za maji katika vyanzo mbalimbali kwa wale wachimba visima au sehemu ambapo maji yanahitajika kwa ajili ya kunywa..mkemia anahitajika katika kupima viwango vya heavy metals kama lead, mercury, arsenic na cadmium kwa ajili ya kulinda afya ya mtumiaji, pia analysis of water hardness, amount of flouride, lakini pia katika analysis of drugs used by criminals and also verifying suspected person committing crimes through different sample tests taken from crime scenes through knowledge of forensic analysis and toxicological chemistry
Good explanation, to be honest i got the real meaning, thanks alot.
 
Best yng ni mkemia ila tangu 2013 anasaga tu lami hana ajira.
 
Kuna watu wanaaply Md wakati wanatokeo mchepuo wa CBG jamani TCU ya guide book muisome vizuri maana hilo ni jibu
 
Mtu yupo CBG kachagua pharmacy, MD mwanzo mwisho hivi bila pharmacy au MD huna alternative way ya kufanya kitu kingine..jamani tuishi kwa plan na tusiwe wakukurupuka tu kwa kufikiria present tu...tuwenafikra za future pia..
 
Kuna watu wanaaply Md wakati wanatokeo mchepuo wa CBG jamani TCU ya guide book muisome vizuri maana hilo ni jibu

Inategemea na chuo

Kwani umeambiwa vyuo vyote CBG hawasomi MD?
 
Watu waliosoma Bach.ya biology na maths wanapata Shida sana ktk ajira wengi wa chemistry na statics ndo walau wanaajiliwa so muwe makini
 
Huyo alieleta thread nae ni Mwalimu udom bios asingeajiriwa hapo ingekuwa issue
 
ila kwa mwaka huu TCU wapo tight kidogo ! hata nursng mwaka huu imembana aliyesoma CBG ! angalia TCU book vzr

Guide book nimeshaiona na sioni tofauti na zilizopita ukiacha cut off points

AJUCO bado CBG wanasoma MD,MUHAS bado CBG wanasoma nursing na environmental health sciences

Nioneshe walipotight mkuu halafu pia ukumbuke wanaoset qualifications ni chuo na sio TCU ndio maana CBG anaweza soma MD vyuo vingine lakini MUHAS atasubiri sana
 
Guide book nimeshaiona na sioni tofauti na zilizopita ukiacha cut off points

AJUCO bado CBG wanasoma MD,MUHAS bado CBG wanasoma nursing na environmental health sciences

Nioneshe walipotight mkuu halafu pia ukumbuke wanaoset qualifications ni chuo na sio TCU ndio maana CBG anaweza soma MD vyuo vingine lakini MUHAS atasubiri sana
kama ni chuo bas sawa inawezekana kweli !
 
Environmental economics and policy ni mpya ..uwe Egm, PCM lakini.. Ndo Mara ya kwanza kwa vyuo tz
 
Mkuu nashukuru kwa kunirekebisha hapo but ukweli ni kwamba competition ya kupata md kwa mtu wa CBG ni kubwa
 
Back
Top Bottom