Tatizo la Macho

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari zenu wakuu.

Wakuu ni kwamba takribani mwaka mmoja tatizo la macho yangu kupoteza mwelekeo wa utendaji kazi na kusababisha nianze kuona kama kuna giza au ukungu vile wakati ni mchana. Hiyo hali huwa inadumu kwa robo saa hivi na kuendelea. Nikiwa katika hali hiyo nashindwa hata kusoma maandishi makubwa.

Hivyo basi, pindi inapoisha hiyo hali, kichwa huwa kinauma sana hasa upande wa kulia au kushoto.

Je nini hiki wakuu?
 
Hua unatumia muda gani kuangalia TV au kuchat kupitia simu yako?
TV huwa siangalii Mkuu ila huwa nachati sana ingawa sio kwa muda mrefu.

Pia, hata kabla sijawa na smartphone hilo tatizo lishawahi kutokea badae likaisha so tangia mwaka Jana ndiyo naona huwa linatokea Mara kwa Mara.
 
Hua unatumia muda gani kuangalia TV au kuchat kupitia simu yako?

Mkuu umeishia njiani hebu nenda deep kidogo nini athari za kuangalia tv au kuchat muda mrefu??..binafsi ninachati sana kwa muda mrefu na sasa nina tatizo la macho ..kama una uelewa wa kuepuka hilo tatizo please share nasi
 
Mkuu umeishia njiani hebu nenda deep kidogo nini athari za kuangalia tv au kuchat muda mrefu??..binafsi ninachati sana kwa muda mrefu na sasa nina tatizo la macho ..kama una uelewa wa kuepuka hilo tatizo please share nasi
Ni kweli, ila sina uelewa sana, bali kuchat kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo mengi tu, ila chamsingi unatakiwa kukaa mbali kidogo na screen ya simu yako, angalau nchi 15 ili kuepuka miale ya mwanga wa simu yako.
Au tumia miwani ya kupunguza mwanga. Ikiwa ni pamoja na kutotumia LED kubwa kwa simu yako wakati wa usiku (screen brightness)
Kuepuka zaidi usitoboe usiku, yaani uschat kwa Muda mrefu.
 
Habari za humu mjengoni,mimi nna mpenzi wng tuna mwaka na nusu sasa ila ktk hz cku za karibu aliniambia anaumwa na shingo af alikuwa anakohoa kiasi pia na mimi nlikua nahc maeneo ya mkono wa kushoto misuli inaniuma kiasi... Sasa hp cjaenda kupima lkn nna wasi wasi sana mawazo mia! Naomba ushauri wenu nfanye nini.
 
Back
Top Bottom