Recent content by Mswahili wa Bara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Hiyo hela anayokwenda kutumia ulaya ameitoa wapi kama siyo fisadi pia. Watu kama hawa ndiyo wanatafutwa waseme hizo hela ambazo hazilinganyi na mishahara yao wameitoa wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eti mwanamke pia humwaga shahawa?

    Naomba hiyo dawa mzimu wa kolelo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wa Escrow wafikishwa mahakamani

    Ni kianzio cha kutudanganya. Tunataka kuona timu nzima iliyogawiwa hizo hela. Kuanzia Ikulu,Wizara ya Fedha,Wizara ya madini na Nishati pamoja na TRA. Ifanyike bila kuacha jiwe limesimama
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Ni sahihi kam mleta mada livyosema,lakini nadhani mua wake utafuata baadaye. Kwa sasa kama UKAWA watapata nafasi a kwenda Ikulu basi,yeye anapaswa kupewan nafasi ya Waziri wa Shera ama Attoney General
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Tanzania na vitambi !

    Wenye tumbo ni maafisa. Wanaokwenda front ni private hadi sajent. Ila wanaongozwa na makapten au majors. Wakubwa wanapanga logistic na kuangalia mbinu za kutumia. Hawana shida. Wanapata tu report.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Mimi sijaona tatizo,huo ni uchochezi. Kuna ubaya gani kumtuma mjomba wa motto kushughulikia cheti cha mwanao? Ukienda RITA hawahitaji kujua ni nani anakuja kuchukua cheti. Cha msingi ni kuwa na vielelezo vinavyotakiwa. Ukiangalia kwa mapana Mbowe na Nkya wako busy na mambo ya siasa. Huo muda wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Tupeni matokeo ya bana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana ITV, Ahsante sana Radio One! Ahsanteni sana escrow!

    Mbona hujataja TBC1 na yenyewe ilikuwa inarusha live? Tusiwabague wenzetu hata kama ni chombo cha serikali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Naona na mimi nichangie kidogo. Wanaosema ni kwa ajili ya matambiko,Je, matembiko hayawezi kufanyika kipindi kingine? Je wazungu wa wanaofanya kazi sehemu mbalimbali wanapenda kusherehekea X-mas makwao,Je ni matambiko? Watu wa Kilimanjaro husasani wachaga,walitawaliwa na wajerumani na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Vyuo vya Uingereza kwa ujumla wake wanatoa nafasi ya Masters ama PHD kama alivyosema mmoja hapo juu. Kuna vigezo vingi wanatumia,kimojawapo unapoomba kusoma Masters siyo gurantee upate masters na nilishuudia watu niliosoma nao,Waingereza wenyewe. Kama performance yako isipofikia average ya 50...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnaozindika nyumba

    Pole kwa kuwa na imani haba. Uchawi upo kwa wakristu hata biblia imesema. Sijui wasislamu wanasemaje. Njia nzuri ya kuzindika nyumba kama wewe ni mkristu ni kuiwekea wakfu kama alivyosema mjumbe mmoja hapo juu. Kwa wakatoliki imara. Ibariki nyumba yako kwa kununyizia maji ya Baraka. Yale maji ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajali: Wafanyakazi wawili wa benki wafa wakisindikiza fedha benki

    Wangetumia magari ya group 4 ajali isingetokea? Tujaribu kuwa na mawazo ya kujenga. Magari ya kusafirisha fedha yameandaliwa na vioo vyake mara nyingi ni tinted. Kama ni landcruiser haian tatizo,kwanza unajua mwendo wake ni mkubwa kuliko yale ya jamaa zako group 4. Swala hapa ni hawa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

    Kazi ipo. Itabidi serikali ijipange upya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    Hawana ubinafsi. Wanalinda maslahi ya nchi yao na watu wao. Na wanaweza kujitosheleza kwa kila kitu technologically,military and economically
Back
Top Bottom