Ahsante sana ITV, Ahsante sana Radio One! Ahsanteni sana escrow!

UkomboziMpya

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
465
179
Hili halina chembe ya ubishi; labda kama ubishi upo damuni mwako!

Ile live coverage waliyofanya ITV na Radio One kuhusiana na escrow saga imesaidia kwa kiwango kikubwa sana wananchi kuifahamu vizuri hawa ma zimwi.

Matokeo yake yamedhihirika kwenye uchaguzi serikali za mitaa.

ITV na Radio One japo mlichelewa sana kufanya kazi yenu ya msingi ya kuwahabarisha wananchi kuhusu taifa lao; lakini sio ishu its never too late kufanya jambo jema. Endeeleni na moto huo huo na mtadhirisha ulimwenguni kote kuwa nyie kweli ni super brand. Na mnafanya kazi ya kuwahabarisha wananchi wanachotaka kusikia.

Vyombo vingine vya habari fanyeni kazi yenu, acheni kujiingiza kwenye kazi za kisiasa. Jifunzeni kuwahabarisha wananchi kile wanachotakiwa kukifahamu kwa muda husika na sio kuwahabarisha wananchi kile mnachotaka nyie wakifahamu kwa kufuata maelekezo ya wanasiasa.

Ahsanteni sana! Nimejichimbia sehemu nalia kwa furaha kubwa sana; maana nimeona mwanga wa ukombozi kwa mbali unakuja kuimulika tanzania 2015, na hatimae ma zimwi kutoweka kabisa maana hawawezi kuishi kwenye mwanga wanaishi zaidi gizani!
 
Kweli kabisa mkuu na hiki wanachofanya kusambaza umeme vijini ndo watakuja kujuta kabisa couse wananchi watafahamu mambo mengi zaidi ..kwa sababu nimeona ccm wamepata kura nyingi sana vijijini kwa sababu ya awareness ya watu...
 
Hili halina chembe ya ubishi; labda kama ubishi upo damuni mwako!

Ile live coverage waliyofanya ITV na Radio One kuhusiana na escrow saga imesaidia kwa kiwango kikubwa sana wananchi kuifahamu vizuri hawa ma zimwi.

Matokeo yake yamedhihirika kwenye uchaguzi serikali za mitaa.

ITV na Radio One japo mlichelewa sana kufanya kazi yenu ya msingi ya kuwahabarisha wananchi kuhusu taifa lao; lakini sio ishu its never too late kufanya jambo jema. Endeeleni na moto huo huo na mtadhirisha ulimwenguni kote kuwa nyie kweli ni super brand. Na mnafanya kazi ya kuwahabarisha wananchi wanachotaka kusikia.

Vyombo vingine vya habari fanyeni kazi yenu, acheni kujiingiza kwenye kazi za kisiasa. Jifunzeni kuwahabarisha wananchi kile wanachotakiwa kukifahamu kwa muda husika na sio kuwahabarisha wananchi kile mnachotaka nyie wakifahamu kwa kufuata maelekezo ya wanasiasa.

Ahsanteni sana! Nimejichimbia sehemu nalia kwa furaha kubwa sana; maana nimeona mwanga wa ukombozi kwa mbali unakuja kuimulika tanzania 2015, na hatimae ma zimwi kutoweka kabisa maana hawawezi kuishi kwenye mwanga wanaishi zaidi gizani!

Mmh! mleta uzi huu haitakii mema ITV hata kidogo. Yaana anataka kusema kwamba ITV inahusika na matokeo mabaya ya CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na ITV kuwafahamisha wananchi kuhusu escrow. Kwa maana nyingine anataka ITV iorodheshwe na CCM kwenye tathimini zake kama miongoni mwa sababu za matokeo yake kwenye uchaguzi huo. Tido Mhando aling'olewa TBC kutokana na tathimini ya chama kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Rais na wabunge.

Uzi una nia mbaya kwa ITV, kwanini uletwe leo baada ya uchaguzi? Anataka ITV ishuhulikiwe?
 
teh teh teh teh
 
Ila vijijini watakula kura nyingi sana.., kule bado mazezeta yanayoamini Nyerere ni Rais yamejazana..
 
Kuna gaziti moja linaitwa "mwanajamii" mkoani manyara
Hilo pia liliandika habari hii ya wizi waziwazi . Asanteni sana.

Watu wengi vijijini wamefunguka macho.
Hilo gazeti linapatikana vijijini zaidi kuanzia Haydom mpaka
Magugu.
 
Back
Top Bottom