Nina laptop aina ya dell inspiron, shida ni kuwa nikiiwasha, pale mwanzon huwa kuna kialama flan ka dell, alaf kwa chini kuna kimstari kinakuwa kinasogea, kikifika mwisho ndo windows inaanza, lkn mm kangu hakifiki mwisho inaruka inaanza mwanzo tena km ndio nmeiwasha...
Yaan windows haianzi...