Msaada nataka ninunue pikipiki kwa ajil ya personal use

msukuma01

Member
Jan 4, 2016
37
9
Nahitaj mnishaut ni pikipiki gan nzur kwa ajil ya kuzungukia mizunguko yng ya kawaida tu na si ya biashara..na nahitaj iwe angalau sport kiaina..
Asanteni..
 
Kama kipato chako ni endelevu nakushauri nunua Boxer. Na kama hiyo hela ni ya "ngama" nunua pikipiki ya Mchina hasa SANLG. Inadumu na inauzika haraka pale utakapohitaji kuiuza. Na vipuri vyake vinapatikana kila kona na bei ni mchekea.
 
Kwakwel jamn budget yng ni 2500000
Mkuu chukua pikipiki inaitwa Hero dawn cc 125 hutojilaum kwan ni 1.95 milion, imekaa ki sport, inanusa mafuta lita 1 kwa km 80 na ni ngumu na nyepesi. Hata mimi ninayo na sijajutia uamuz wangu wa kuinunua
 
Angalia lengo la kununua. Kama ni misele ya town na sio mtu wa kupenda makuu tafuta Huoniao, ni pikipiki ndogo, spear kibao mafuta ndio kabisaa inanusa. Maana ushenzi wa pikipiki hata ununue ya 5ml bado utapigwa na jua na mvua, na risk of injury iko palepale mkuu.
 
But chombo chochote ni matunzo tu kutowaachia watu hovyo waendeshe endeshe na kupigia misele na kuzingatia service kwa wakati....kinyume na hapo utajuta
 
Back
Top Bottom