txyz
Member
- Apr 3, 2014
- 89
- 48
Ni ukweli ulio wazi hata kwa wapinzani kuwa rais kafanya kazi kubwa kwa kipindi kifupi sana. Awali nilimuita Nyerere Junior na kwa kuwa Nyerere alitawala nchi hii kwa miaka 25, nashauri Rais Magufuli aongoze kwa muda kama huo ili nchi yetu isonge mbele kwa haraka ya treni ya umeme.
Kwa mwaka mmoja karudisha nidhamu kwa watumishi wa umma na watendaji wa serikali na mashirika ya umma, kwa mwaka mmoja kanunua ndege tatu na tayari mchakato wa ndege tatu zaidi umekamilika.
Kwa mwaka mmoja katimua watumishi hewa elfu kumi na tisa waliokula bila kutokwa jasho. Kwa mwaka mmoja kajenga barabara za rami zaidi ya kilometa 100 nchi nzima
Kwa mwaka mmoja GDP imepanda kwa 30%.
Kasi hii haijawahi kufanywa na rais yeyote tangu uhuru.Tuna imani naye na tutazidi kumchagua. Viongozi wa chama chetu anza utaratibu wa kubadili muda wa rais kukaa madarakani.Najua wengine hawatafurahia thread hii lakini ukweli ndo huo Na JPM atabaki mioyoni mwa Watanzania wazalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.