Nimeshangaa sana kusikia kuwa kabla ya 2005 Kitila alikuwa CCM,
Kumbe miaka ya mid to late 1990's tulipokuwa DARUSO tukifanya harakati za chuo kumbe mwenzetu alikuwa kada wa CCM huku akitudanya kuwa yeye ni mpiganaji na mpinzani 4 life?
Nilikuwa naamini hukumu aliyopewa CDM alionewa ila sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.