TFF ya Karia yaanza kuifanyia Yanga ‘fitna’…….Yatangaza ’Mohamed Isa Banka’ ni mchezaji wa Mtibwaa!

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
5,119
5,683
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa kukamilisha taratibu za usajili wake. Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa TFF hiyo hiyo ndiyo iliyompitisha Mohamed Banka kuichezea yanga kwa msimu huu wa 2018/2019, na ligi ikiwa inakaribia kufikia katikati ya msimu wa2018/2019 TFF hiyo hiyo inakuja na maamuzi mengine

Nawasilisha!
 
TFF ni ile ile tuu, maamuzi yoote ni ya u -simba na u-yanga kwa kwenda mbele
 
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa kukamilisha taratibu za usajili wake. Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa TFF hiyo hiyo ndiyo iliyompitisha Mohamed Banka kuichezea yanga kwa msimu huu wa 2018/2019, na ligi ikiwa inakaribia kufikia katikati ya msimu wa2018/2019 TFF hiyo hiyo inakuja na maamuzi mengine

Nawasilisha!
mchezaji mwenyewe kafungiwa kwa kutumia mihadarati
 
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa kukamilisha taratibu za usajili wake. Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa TFF hiyo hiyo ndiyo iliyompitisha Mohamed Banka kuichezea yanga kwa msimu huu wa 2018/2019, na ligi ikiwa inakaribia kufikia katikati ya msimu wa2018/2019 TFF hiyo hiyo inakuja na maamuzi mengine

Nawasilisha!
Tifutifu yote ni myama/mikia FC.
 
Mchezaji mwenyewe teja! Kitendo cha kumhusisha na Yanga unajua kingeipaka matoke kiasi hiyo Brand?? Tafakar
 
Hivi huyu Banka hajafikisha miaka 40? Au ni mwingine siyo yule ninayemfahamu mimi? Hakika hili ndiyo soka la bongo.
 
Ajabu bado watu wanaendeleza ubaguzi.Lakini hao hao wanampigia magoti mhindi arudi. Kweli maajabu hayaishi.
Mmewekwa chini ya uangalizi wa TFF kwani imebainika hamuwezi kufanya wenyewe uchaguzi mnahitaji msaada.
Halafu unatamba.
 
Huyu ni mwingine hata miaka 25 hajafikisha! Anatumia Banka kama a.k.a yake! Ni mzenji
Hivi huyu Banka hajafikisha miaka 40? Au ni mwingine siyo yule ninayemfahamu mimi? Hakika hili ndiyo soka la bongo.
Huyu ni mwingine hata miaka 25 hajafikisha! Anatumia Banka kama a.k.a yake!
 
Back
Top Bottom