Recent content by Msoshalisti1

  1. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania Kwaheri NMB

    Hawa CRDB ni wapuuzi mno, nimekatwa pesa mpaka leo wananizungusha tu, zero brain
  2. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Madini Dodoma siwaelewi

    Wapo Miyuji pale, Karibu na msalato JW
  3. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania Argentina labda waokolewe na jitihada binafsi za Messi, vinginevyo wataelewa Cape Verde ni nani

    Wapuuzi , wanajitapa tu. Baadhi ya games hawaoneshi, ujanja DSTV tu
  4. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtunzi mahiri wa nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    Kutotaja magwiji wa muziki kama vile MB Syote, Pd L Malema Mwanampepo, F Nyundo, Pd D Ntapambata, Pd Songoro, S J Simya, E I Kalluh etc uzi wako haujakamilika. Haujakutana na nyimbo za watu hawa?
  5. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania KERO Wahandisi wa Halmashauri tunaonewa

    Kweli tupu, tena hao takukuru ndo wana0ngoza kwa 10%
  6. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

    Ongeza na baadhi wa 2013 waliopandishwa na kupokonywa barua zao
  7. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tumewekwe utaratibu wa kuuza mkopo lakini benki zinabana badala yake zinataka tuongeze mkopo juu ya mkopo

    Ni upuuzi kuwasema walimu wakati watumishi wengi wa Halmashauri wanakopa na mishahara yao ni midogo pia. Ifike wakati tuwe na heshima
  8. Msoshalisti1

    JamiiForums Tanzania Wanakwaya Jimbo Katoliki Bagamoyo wapata ajali mbaya Singida

    Tumsifu Yesu Kristo Poleni sana wanakwaya wetu
Back
Top Bottom