Kwaheri NMB

Kwaheri NMB

Bank gani kila mara changamoto?

Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake.

Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very smart. NMB na CRDB mmelewa wateja.
Nmb wako poa mfano leo wanaopokea Salary kutoka NMB washasaza....CRDB wanapa rangi upepo bado...shubaramit!!
 
Yeah nafahamu, nimepata hiyo shida pia...

View attachment 3547703

But sio kwamba ndio app kimeo, jamaa wanajitahidi sana kiasi kwamba kwa mwaka unaweza kukuta wana downtime ya mara 1 au 2 tu...

Natumia app yao, master card yao ya tanzanite (tap service) na prepaid card yao nikiwa nchi yeyote...
Mkuu mbona nmb app ya Sasa Haina hiyo picha ya huyo mdada na bodaboda siku nyingi sana,
 
Bank gani kila mara changamoto?

Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake.

Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very smart. NMB na CRDB mmelewa wateja.
nenda Azania bank kumbe ni bank ya serikali mmiliki mwenye hisa kubwa ni PSSSF akifuatiwa na NSSF na WCF.
 
Bank gani kila mara changamoto?

Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake.

Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very smart. NMB na CRDB mmelewa wateja.
Hakuna bank yenye ufanisi porini.
 
Back
Top Bottom