Recent content by Msimamoo792

  1. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    ⅔+7⅝+9²
  2. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania Kwanini JamiiForums isitumiwe na mastaa wa Bongo kama wanavyotumia Facebook, Instagram kuweka mawazo yao?

    Nadhan hawastaili jukwaa lolote maana huwa wanapost picha zao na kuandika hawapendagi kabsa so uku itawawia ngumu sana maanake huku akuna kupost ulichokula wala unacho vaa bila reason
  3. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego ndio msanii aliyewahi kumiliki watoto wakali kuliko msanii yeyote wa kiume unayemjua Bongo

    Nalo neno, ngoja tusubiri complite answer
  4. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

    Mama ameshatembea na waafrika wangap mpaka kufikia kusema wanalongolingo bara nzima, ameshatembea na wazungu wangap na wa nchi zip ambao wamempa ukaki juu ya swala la mapnz kwao?dah mkataa kwao....
  5. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

    Kaka yupo good sana kwenye kitengo cha ustaarabu
  6. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    Proved (wale waliopiga circle vizuri wanajua)
  7. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini asilimia kubwa ya watu wanaorudia mtihani wa kidato cha nne na sita huishia kufeli?

    1) mtu kutambua makosa ya awali azirekebishe mfano kama hukuwa na vitabu uingie sokoni kununua, pili kama ulikuwa huna mwalim wa somo/masomo uliyo feli zaidi ukazane tuition tena za uhakika 2)kutulia wakati unafundishwa na pia wakati unasoma mwenyewe(person study) Tatzo lingine huwa watu hawa...
  8. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania Msaada: nifafanulie maana ya GDP (PPP).

    Mkuu kama madini bado zipo kwenye ghala endea kutuvunjia ukizingatia wale EGM tulikuwa tunazingatia sana kuelewa M
  9. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nadhani nimesha kuunga mkono toka mda mkuu
  10. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Madrid watashiriki final kumsindikiza liver kuchukua chao
  11. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Naandika ujumbee mda mchache baada Juventus kutolewa,,,,, kama Liverpool wakifanikiwa kuingia final na Real hi hii mtasahau kikombe hichi
  12. Msimamoo792

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

    Mbona mkuu unawapa maneno ya busara kiasi hiki"fadhila hulipwa" ameshindwa kulipwa aende uko anapo penda zaidi,,,,, angalao kwa miaka miwili au mitatu kifurushi ch kikiisha atafte kwingine tena
  13. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo apa macho kodo
  14. Msimamoo792

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo
Back
Top Bottom