Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
pole mkuu,pumbu zina maajabu yake...pumbu zinaweza kunusurika lakini mifupa ya vidole imevunjika![]()
nimeshika pumbu alimanusura zipasuke kwa presha.
pole mkuu,pumbu zina maajabu yake...pumbu zinaweza kunusurika lakini mifupa ya vidole imevunjika![]()
nimeshika pumbu alimanusura zipasuke kwa presha.

aiseee yaani mtu angekuwa na kipimo cha presha angeshaa presha zilivyokuwa juu

kipimo chenyewe kingepasukaaiseee yaani mtu angekuwa na kipimo cha presha angeshaa presha zilivyokuwa juu
Naandika ujumbee mda mchache baada Juventus kutolewa,,,,, kama Liverpool wakifanikiwa kuingia final na Real hi hii mtasahau kikombe hichi
Madrid kawatoa mabingwa wa Ufaransa,mabingwa wa Italia na mabingwa wa Bayern!timu zote mabingwa katika nchi zao zimeshatoka!!!!!.......and still its going to be Champions League Final


Una maanisha???...Naandika ujumbee mda mchache baada Juventus kutolewa,,,,, kama Liverpool wakifanikiwa kuingia final na Real hi hii mtasahau kikombe hichi
Hata wangekuwepo tungepiga tu, Bayern ni wetu, zizu anajua kucheza tokana na match, na sisi carvahal na isco hawajacheza wangecheza tempo ya game ingekua tofauti kabisa.Sikumbuki lini nilikuwa na presha juu kama hii,na hapa robben ameumia,Vidal ameumia
Na wewe ukimpata demu anaeichukia MADRID kama wewe tangaza ndoa Mapema tule pilauUkipata demu anaekupenda kama marefa wanavyoipenda madrid usimwache