Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

Mambo ya ndoa huwa yana mambo mengi sana lakini bahati mbaya yanapokuja kuharibika huwa tu nasikia Habari za upande mmoja tu huku kila mmoja akivutia upande wake......

Nimekumbuka Habari ya bwana mmoja aliyekuwa na mgogoro na mke wake kila kukicha.....huku yule bwana akimtuhumu mke wake kutoka nje ya ndoa yao na mwanaume mwingine......baadae kuja kugundua ni kuwa yule bwnaa alitumia nguvu ya wazazi tu kumuoa yule bibie na kipato chake lakini si kwa mapenzi ya yule bibie.....Sasa katika hali kama hiyo mwanamke ataachaje kutoka nje ya ndoa....

Jambo lingine ambalo wanaume tunalidharau kwenye ndoa ni sex na romantic words.....haya mambo wanawake huwa wanayapa uzito sana kwani huwa fanya wajione kuwa ni wenye thamani.....

Wanawake sex wanaipa nafasi kubwa sana kwenye mahusiano kinyume chake ni kuwa sisi wanaume mwanamke akishakuwa ndani hili jambo huwa tunalipuuzia sana na kama tunalifanya basi huwa ni chini ya kiwango kabisa......huu ni ukweli ambao wanaume hawawezi kuukiri hadharani lakini iko hivyo kwenye ndoa nyingi sana......

NB;
Migogoro ya ndoa huwa inaanzia mbali sana
Kuna kaukweli
 
Nashndwa kuelewa upo na depression au stress!!!
Fanya juu chin, kampimishe mimba akiwa anayo mfungashie vilago na makofi juu pumbavu zake
Kama atakua salama, mpende mke wako hakuna ndoa zsizo na changamoto, kuachwa kisa kagongwa nje utaacha wengi

Kama mwanaume mwenzako uo ndio ushaur wangu, kwan ww more than 10 years umegonga ngoma ngap nje?? Kuhusu tabia n jukum lako kumnyoosha kuna uzi "tuliowai kuwapiga wanawake makofi na yakasaidia" Fanya upitie comments utapata ktu
Kwa mwenendo huu huoni anaweza kuwa kashapima na pengine hata kuchukua hatua (kutoa mimba), so kipimo kwa kumsimamia inaweza sio option eefetctive.
LAbda aangalie siku kadhaa baada ya mtafaruku huu kama hajaja kusema naumwa.....hahahaaha
 
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana heshima. Kuna siku nilisafiri nje ya nchi for 2wks hizo wk nilijua yupo danger zone siku 7 ndani yake. Nakarudi nikamwambia tupime pregnancy amekataa maana anajua ujinga aliofanya hivyo alitaka kunibambikizia uzuri nilijua before. Je mwanamke kama huyo akiachwa atasema wanaume Wabaya? Tatizo la wanawake akipenda sehemu anajitoa mazima moyo wote! Hivyo nyumbani heshima inapotea, sisi wanaume hata kama tunachepuka nyumbani heshima kubwa. Leo mtu anapingwa chini maisha yasonge. Life's too short let us enjoy.
Ulipaswa umwache kwanza halafu ndio uje kueleza kama historia kuwa...ilikuwa hivi na hivi na hivi

Halafu hapo hapo unatangaza hapahapa kuwa

"unahitahi mchumba atakayekuwa Mke"
 
Kwangu Mimi ili nisikutane na upuuzi ulio mkuta Mkuu, mwanamke had nimkubali bas ujue nimemchunguza na nimegundua ana hofu ya Mungu ya hali ya juu,

Ushauri wangu vijana ukimuona binti usimkurupukie tu ovyo baada tu ya kuvutiwa na muonekano wa nje, hofu ya Mungu papoja na tabia njema, ivyo vingine complications,

Shut the *** up dude
 
Ukitaka kujua ukali wa mbwa mshike sehemu za siri...

Mpaka sasa huyo mwanamke hatakiwi kuwa ndani ya nyumba ni vyema ukamruhusu aende akaishi na mchepuko wake....
 
Umerarua sanaa maneno mkuu.[emoji23]
Ila hasira izo kama vipi piga chini tu kwani nini bana.
atapiga chini wangapi mzee baba,

nao binadamu alafu pia viumbe zahifu,,

kati wanaume 2000 watakao mtongoza lazima wapo ataowapenda

vice versa is true,,
 
Dah i wish i could have a medicine ya kuzuia kuchokana kwenye mahusiano. Wanawake huchoka mapema sana na kuanza usaliti hali inayokera sana. Mi nikioa ntamfunga mke tu maana sipo tayari kuona anagongwa nje ntaumia sana yani.
As long as you are not clean ...... mim naona kumuacha sio maamuzi sahihi !!!miaka kumi ndani ya ndoa sio mchezo atiii kuna kuchokana etc .....kaa chini na mwenzio mkanye tabia yake ajirekebishe mpe warning ya hatari hatari .
Fikiria familia fikiria watoto wako mnachana afu watoto waanzane kutapa tapa ,Jaribu kuongea na mwenzio kwanza ikishindikana ndo ufanye maamuzi magumu ...... Ndoa sio lelemama
 
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana heshima. Kuna siku nilisafiri nje ya nchi for 2wks hizo wk nilijua yupo danger zone siku 7 ndani yake. Nakarudi nikamwambia tupime pregnancy amekataa maana anajua ujinga aliofanya hivyo alitaka kunibambikizia uzuri nilijua before. Je mwanamke kama huyo akiachwa atasema wanaume Wabaya? Tatizo la wanawake akipenda sehemu anajitoa mazima moyo wote! Hivyo nyumbani heshima inapotea, sisi wanaume hata kama tunachepuka nyumbani heshima kubwa. Leo mtu anapingwa chini maisha yasonge. Life's too short let us enjoy.
Juzi juzi ulimsifia leo unamkandi! Wewe unafurahisha genge tu

Kumuomba Mwanaume fedha baada ya Sex ni tabia ya 'Kimalaya'
 
As long as you are not clean ...... mim naona kumuacha sio maamuzi sahihi !!!miaka kumi ndani ya ndoa sio mchezo atiii kuna kuchokana etc .....kaa chini na mwenzio mkanye tabia yake ajirekebishe mpe warning ya hatari hatari .
Fikiria familia fikiria watoto wako mnachana afu watoto waanzane kutapa tapa ,Jaribu kuongea na mwenzio kwanza ikishindikana ndo ufanye maamuzi magumu ...... Ndoa sio lelemama
Chukua huu ushauri.
 
No mercy, No games , No lies. Inapokuja kufanya maamuzi magumu ndio hii.
Niwakumbushe dada zangu kuwa hakuna mwanaume zezeta hata siku moja. Hayupo na hatokuwepo.. unamuoma mwanaume ametulia, anahangaika ili uvae vizuri, akutunze atunze familia.. badala umlipe japo kwa.upendo .. unajisahau na kwenda kuchepuka.. msijisahau jmn.. msijisahau
Mbona mkuu unawapa maneno ya busara kiasi hiki"fadhila hulipwa" ameshindwa kulipwa aende uko anapo penda zaidi,,,,, angalao kwa miaka miwili au mitatu kifurushi ch kikiisha atafte kwingine tena
 
atapiga chini wangapi mzee baba,

nao binadamu alafu pia viumbe zahifu,,

kati wanaume 2000 watakao mtongoza lazima wapo ataowapenda

vice versa is true,,

Kwa akili kama hizi utalea sana watoto wa nje

Mwanamke akisaliti hachelewi kukuua

Hao wanawake hawafuati ngono tu huku huenda kila kitu chako kipo wazi kwa huyo mbwa wake wa sasa
 
Pole sana...
10yrs of marriage binadamu hawezi kubaki na akili ile ile ya kipindi kile bado unamtongoza...

Binadamu hubadilika...

Cc: mahondaw
 
Jamani mwanamke nae ni binadamu ana madhaifu yake .....unaposema akiolewa mission accomplished unakosea sanaa huyo dada sio Mungu mtu !!!!! Wazazi wetu wasingekua na vifua ndoa zao zisingedumu , ila angalia mpaka leo wapo pamoja sio kwamba hawakwazani ila kuna kurekebishana jamani ....... Mtu akigoma kubadirika ndo unaweza chukua maamuzi magumu na sio kosa tu unamuuacha !!
Ndugu kusameheana kupo ila si kwa suala la Uzinzi acheni ushauri usiokuwa na maana na huenda nyie mnaoshauri hivi hata kuoa hamjaoa,Shubaamiti!!
 
Atleast mimi naujua nini maana ya ndoa na maisha kiujumla ......... Mtu alieoa hawezi kumshauri mwenzie akurupuke kuachaana na mkewe !!!! Kuna approach nying za kumuadabisha labda akigoma kubadilika ndo afanye maamuz magum
Lkn si katika uzinzi ndugu hata biblia imesema vitu vinavyoweza kuvunja ndoa ni uzinzi na uasherati kwa nini mnaukataa huu ukweli?
 
Jamani mwanamke nae ni binadamu ana madhaifu yake .....unaposema akiolewa mission accomplished unakosea sanaa huyo dada sio Mungu mtu !!!!! Wazazi wetu wasingekua na vifua ndoa zao zisingedumu , ila angalia mpaka leo wapo pamoja sio kwamba hawakwazani ila kuna kurekebishana jamani ....... Mtu akigoma kubadirika ndo unaweza chukua maamuzi magumu na sio kosa tu unamuuacha !!

Nitajikosea heshima sana endapo nitagundua na kuthibitisha tunda la moyo wangu linatinduliwa nje halafu nikamsamshe
 
Back
Top Bottom