Recent content by mshumbullah

  1. mshumbullah

    Watabe wa 'piwa'......

    Another paper please.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mshumbullah

    Darasa la kupigilia pamba kijanja

    kichugaaaaaaaaaa zaidiiiiiiiii!!!!
  3. mshumbullah

    Je, wanaume wako tayari kutumia dawa za uzazi wa mpango?

    dawa nzr ni kuacha tuu. unywe vidonge thn unakuwa unawashwa au unanenepa ss unafuu uko wap? kulea maradhi au kulea mtoto....!
  4. mshumbullah

    Mnyukano wapamba moto CCM, Makongoro Nyerere aundiwa zengwe zito

    Wakuu, Nimeipata hii kutoka Dodoma. Kama hali iko hivi, basi nadhani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuna kazi nzito. Vita vya panzi, tijara ya kunguru, inawezekana wakapita wasiotarajiwa kama wakati wa kura za maoni za urais. =================== MPANGO WA WANAMTANDAO KUMCHAFUA CHARLES...
  5. mshumbullah

    RIPOTI YA MAUAJI YA ALBINO: Nilipambana, nikasikia pa! kichwani, wakakata kiganja cha Baraka

    Wakuu, haya ni majanga na tunapaswa kuyakemea kwa nguvu zote. Nimeikuta hii, very interesting na tunaweza kuunganisha nguvu kupambana... PRISCA Shaaban Mpesya (29), mkazi wa Kitongoji cha Kikonde, Kijiji cha Kaoze katika Kata na Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, alikuwa...
  6. mshumbullah

    Ripoti ya FikraPevu ‘yapeleka’ mwalimu mwingine kunusuru kufungwa shule Nyasa

    SAA chache baada ya gazeti tando la FikraPevu kuripoti kuhusu shule yenye wanafunzi 195 kufundishwa na mwalimu mmoja, tayari Serikali imetuma mwalimu mwingine. Kuwasili kwa Mwalimu Charioni Mpombo kutoka Shule ya Msingi Tingi, katika Kata ya Tingi wilayani Nyasa kutainusuru shule ya Matarawe...
  7. mshumbullah

    Nurse Zai kutoka Kigoma umetoa fundisho

    Mr. Mtui, nadhani hata hapo ameonekana pia. Halafu kumbuka Jane Goodall alikuja na kuzama msituni huko Gombe akijifunza tabia za sokwe, lakini leo anafahamika kimataifa. Kwahiyo siyo lazima ukae mjini au mahali gani ndipo uonekane, jitihada zako pekee ndizo zinazokufanya uonekane na ufanikiwe.
  8. mshumbullah

    Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

    Profeshno!!!!!! Hahahaha... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Safi sana! Hapo tu ndio ninapokupendea! Akijileta unapita nae tu.. Kwenye Bio Insta umeandikaje?! *Paper Chaser*[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  9. mshumbullah

    Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

    Hahaha nilijua tu nitaitwa hater! Sasa hapo ninachohate ni nini? Au why niwe hater? Hebu nipe sababu moja tu ya Mimi kuwa hater. Nimekosa nini hapo unapopababaikia?!
  10. mshumbullah

    Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

    Ama kweli mapenzi upofu! Haya me mchawi. Tupo!
  11. mshumbullah

    Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

    Sasa unachopaniki ex ni nini? Kwanini uhisi nina lengo hasi km ulishamweleza jamaa kuwa unao exes?! Me nawatakia heri ya dhati wala sio unafiki.. Hayo mambo ya kiporo nimetania tu, acha kujaa! PS: Take a gud care of that little **** Of ours!
  12. mshumbullah

    Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

    Mweh,, nilikuwa wapi??? Nifah ndio ushakuwa ex??! Saaalaaaleeeh!!! Anyway, I wasn't planning on taking our thing any far so am glad that you found ur path right away... Congratulations! Nisiwe mnafiki, mkuu The bold hapa itabidi uniruhusu niwe nakudowea tu japo mara moya moya, si wajua tena...
  13. mshumbullah

    Taarabu Asilia imekufa? Jibu liko hapa..

    Leo nimepita kwenye mtandao DW Swahili nikakutana na makala ya kusisimua sana inayohusu taarabu asilia kutoka visiwani Zanzibar.. Napenda sana muziki wa taarabu asilia.. Sielewi kwanini huku bara mziki huu haujapenya kihivyo, lakini burudani ya vinanda na sauti za akina Gamba, Rukia, Fatma na...
  14. mshumbullah

    Apple vs FBI; Maxence Melo vs DCI

    Kuna watu bado hawajapata usahihi wa anachokisimamia Maxence Melo hasa kile ambacho leo kimebainika kuwa ndicho kiini cha shtaka lake la kwanza na la pili. Ili kuwasaidia kupata mwanga, nimejaribu kutafsiri kesi ya mapambano ya kisheria kati ya Kampuni namba moja kwa teknolojia ya mawasiliano...
  15. mshumbullah

    Wenye nyumba waagizwa kuwa na picha za wapangaji

    Serikali imewataka wamiliki wa nyumba mkoani Dar es Salaam ambao nyumba zao zina wapangaji, kuhakikisha wanakuwa na picha za wapangaji wao wote ili kuwatambua na kupunguza uwezekano wa kuhifadhi wahalifu. Agizo hilo limetolewa leo na Kamishna wa Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule mara...
Back
Top Bottom