Recent content by Mshumaaa

  1. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Tablet nzuri inahitajika

  2. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Tablet nzuri inahitajika

    Mim nnayo LENOVO YOGA TABLET B6000-H Laini moja ya kukata internal 16GB ila haipigi SIMU inatumika kwa internet tu labda na message za kawaida vinginevyo labda WhatsApp call tu nlikuwa naitumia chuoni kwa sasa sina kazi nayo kama vp tuwasiliane mwisho wa bei kabisa ni laki mbili tu haishuki...
  3. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ninauza Tablet yangu LENOVO B6000-h Internal memory 16GB Os 1.95GB Battery 6000mA/h Bei ni Tsh 200,000/= tu
  4. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba cha kupanga ARUSHA maeneo makao mapya au sakina chumba kisizidi 40,000/=
  5. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA TRA kuhusu tin NUMBER

    Tembelea hapo!!
  6. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Where can i get latest software for POWERSKY receiver and Q15 which support powerVu
  7. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta hosing ya HP 635

    Kichwa cha habari hapo ju kinajieleza Niliyonayo imechakaa sana kama kuna uwezekano nipate housing mpya. Natanguliza shukrani
  8. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Arusha

    Huko itakuwa mbali mi niko Arusha Technical
  9. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Arusha

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kiwe na umeme maji kiwe Kati Kati ya mianzini na Triple A au Ngarenaro bei isizidi 40,000/= kwa mwezi
  10. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Askari wa wanyamapori waua mtu Bukombe

    Jamaa ni Fundi seremala alikuwa na vijana wake wanamchania mbao porini. Askari waliwakuta vijana wakiendelea na kazi waliwapiga sana na baadaye kuamuru wale vijana wampigie simu bosi wao. Alipofika alipokewa kwa kipigo hadi kupoteza fahamu na baadaye wamempeleka Hospitali akafia huko...
  11. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania ToYoTa LANDCRUSER INAUZWA

    Kichwa cha habari kinajieleza kwa anayehitaji awasiliane nami ni Tsh milioni 38 inahali nzuri.0767-387560
  12. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye computer yangu

    Natumia windows Xp
  13. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye computer yangu

    Siku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem
  14. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuifanya sim card, moja itumie mitandao miwili,> mwenye Idea tafadhali

    Hiyo kitu ipo ila shida inakuja mtu anapokupigia kwenye lain ambayo haipo kwanye simu kwa wakati huo. Kukupata atakupata ila salio litakatwa upande wako. Yaani kwa kifupi inagharama sana nafuu uka nunua simu kuliko hiyo huduma utakuwa unashangaa salio lako linaisha bila sababu.
  15. Mshumaaa

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Utazipata bila shida channel nyingi pale ni Mpeg 2 jitahidi upate na Lnb yenye nguvu. Zakulipia ni chache ni Abudhabi na Aljazeera sport.
Back
Top Bottom