chodotio richie
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 214
- 86
Camera MP 21, made in korea kwa bibi original LGKiongozi hizi zinatengenezwa nchi gani.? na kamera yake MP ngap
Guys naahitaji blackberry passport napendelea iwe mpya au less than a month old
ipne 4g nyeupe used au kimeo naitaka
poa. bei ? au ni call tuZipo call 0652472486
poa. bei ? au ni call tu
Bado zipo.?
Bila picha hainogiNinauza Tablet yangu LENOVO B6000-h
Internal memory 16GB
Os 1.95GB
Battery 6000mA/h
Bei ni Tsh 200,000/= tu
Kiongozi hizi zinatengenezwa nchi gani.? na kamera yake MP ngap
KariakoohabarI?nitapata wapi housing na battery ya SONY XPERIA U ST25i,mwenye kufahamu duka linalo uza hizi spares naomba anielekeze.
Nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio