Msaada kwenye computer yangu

Msaada kwenye computer yangu

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Siku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem
 
Siku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem

kama umehis mchek anti virus wako anaji update automatically!
Au kama una programs za ajabu ajabu (system security) kama unazo ukiachana na AVs
 
Siku hizi nikiweka modem bando ninayonunua ya mwezi 1Gb haimalizi mwezi inakata cjui tatizo. Wakati zamani lilikuwa linabaki. Msaada wenu nahisi kunavitu vinaji update mara nnapoingiza modem
yeah, kutakuwa kuna background services kama updates zinazotake place, kama ni kwenye windows 8, Make sure Metered connection iko on, for ur modem
 
Natumia windows Xp
kama ni windows XP, try kuchek hizo windows updates, au saa hizo kunaweza kukawa hakuna tatizo lakini ww mwenyewe ukawa umeongeza usage ya internet, which can be very true...
 
Try kuzim auto matic updates....n sme times..kama kun backdoors..nao huchangia usage ya bundle...uki connect modem hebu check mshale wa upload kam unaenda sana..if so jua kun some backdoors...scan wadud n watoe
 
Back
Top Bottom