Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

Me..Sio..Dalali.
Ningependa,Nipate..MwanaJF
Wakuishi..Nae..Mtaa...Mmoja.

Nyumba..Mpya..Kabisa,Inapangishwa.
Kuna..MtiririKo..Wa..Vyumba..Viwili..Na..Sebule,Choo..Ndani.

Umeme,Maji..Vya..Uhakika.
Mtaa..Wa..Ushuani,Kumetulia.
Nyumba..Ina..Fence,

Ipo..Tegeta..Masaiti.
Mtaa..Wa..Tatu,Nyuma..Ya..Kibo..Commercial..Complex..Tegeta.
Near..Cannosa..Secondary.

Karibu..Na..Nyumba..Za..Ibada.
Msikiti,Roman..Catholic..Church,TAG..Church,Haviko..Mbali.

2Km..Kuelekea..Hawai..Ununio..Beach.
Hasa..Kwa..Jogging.

Nitajitolea,Kukusaidia..Kuhamia,Hasa
Ikiwa..Weekend.

Nicheki..PM.

Thanks.
 
Natafuta nyumba y kukodi dodoma mjini maeneo area c na kadhalika usivuke jengo la bunge.. nikipata flat itakuwa vizuri vyumba viwili au vitatu.. isizidi laki nne
 
Madalali ni matapeli na wapandisha kodi ili afaidike mwez mmoja bila kujali kuwa anakuumiza mwaka mzima na ongezeko aliliongeza ili apate kubwa kwa mfano nyumba ya laki2 yeye atafanya 3.
Shame on you madalali njaa kali.
Hao ni Madalali wa kwenu Vichochoroni.

Huku kwetu Hatufanyi hivyo.

Au kama vipi tafuta mwenyewe unachotaka.
 
Natafuta nyumba y kukodi dodoma mjini maeneo area c na kadhalika usivuke jengo la bunge.. nikipata flat itakuwa vizuri vyumba viwili au vitatu.. isizidi laki nne
Nipigie tuyapange Boss.
+255-714-591548.
 
Back
Top Bottom