Natafuta Chumba cha Kupanga Arusha

Natafuta Chumba cha Kupanga Arusha

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Kichwa cha habari kinajieleza. Kiwe na umeme maji kiwe Kati Kati ya mianzini na Triple A au Ngarenaro bei isizidi 40,000/= kwa mwezi
 
Fika Mianzini kwenye mataa, karibu na Supermarket kuna kijiwe cha wacheza draft. Nenda hapo ulizia dalali wa vyumba anaitwa Ras mwingine anaitwa Koli watakusaidia.
 
Huko itakuwa mbali mi niko Arusha Technical
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom