Recent content by Mshiloni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Re: Mafuriko mwezi ujao (September).

    Mafuriko mwezi ujao (September ). Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikishajambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao.Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili halihii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani matatani. Dvd za polisi kupiga mtoto zanzibar zasambazwa

    Chaguo la mkuu...Je atafanikiwa?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa wewe ungechukua uamuzi gani?

    Umenena wangu! Waefeso6:12 Kwa maanakushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidiya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa sio tatizo tatizo ni yale ma roho uliotembea nayo kitandani kabla ya kuoa ndio yaanatumaliza at

    Unahitaji uwe mtu wa kiroho zaidi kuelewa anachokisema mkuu hapa....otherwise hongera umeongea vitu vya ndani sana, ni elimu ambayo binadamu wengi hatunayo ndio maana tupo kwenye manyanyaso makubwa...Big up mkuu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongo huu ni kwa faida ya nani: Mgomo bado upo

    Muhimbili, MOI hali bado si shwari Send to a friend Thursday, 05 July 2012 20:01 0diggsdigg Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakimpeleka Mgonjwa wodi ya Sewahaji jana baada ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada Wenu!

    Pole sana,nakushauri kama unaweza nenda hospitali ya Wasabato inatazama na hindu mandal hospital.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?

    Mtumie sms dada yakokupitia namba asiyoijua then chimba mkwala na kuelezea jinsi unavyotambua Uhusianowake wa n je,elezea vile vitu vya muhimu kumfanya ashtuke ikibidi taja na jinala huyo mgoni aka Jizi….eleza pia na ushahidi wa picha pia unao….then mwambiewewe ni rafiki wa karibu na mumewe au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

    bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Can You See The Cat??

    Nimejaribu...!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Nenda hospitali ya Wasabato inatazamana na Hindu mandal hospital.
Back
Top Bottom