Ndoa sio tatizo tatizo ni yale ma roho uliotembea nayo kitandani kabla ya kuoa ndio yaanatumaliza at

Kongosho, tunatenda dhambi si ndio?
Mara nyingi hatupendi kutenda tunayotenda lkn tunajikuta tunatenda!

Mfano, unaplan kujiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa; kuna nafsi moja inakuambia usifanye; nyingine inakiambia it is okay coz every body does it!

Hapo kuna roho 2 zinazokushauri, moja ni Holy nyingine ni unclean. Kama hauko na imani sana utaifuata hiyo unclean coz inatoa a lot of facts na mifano hai kibao kuverify huo ushauri wake. Kumbuka Yesu alivyokuwa anajaribiwa alipofunga 40 days!

Haya hujaona kuna watu ambao hata wenyewe wanajishangaa kwanini wanajikuta katika dimbwi fulani, wengine huishia kujiita wana mikosi n.k say mtu hana anachotafuta lkn haishi kumcheat mwenzie, au ni mwizi muite kleptomaniac au nini, it is just not normal!
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji uwe mtu wa kiroho zaidi kuelewa anachokisema mkuu hapa....otherwise hongera umeongea vitu vya ndani sana, ni elimu ambayo binadamu wengi hatunayo ndio maana tupo kwenye manyanyaso makubwa...Big up mkuu!
 
i am confused, mi uwa napenda kulala na watoto wa kanisani, wale ambao full injili, full mikesha, sijui uwa nabeba mapepo ya namna gani
 
hamna kitu hapo! science inakataa katu katu. acheni kuamini mambo yasokuwepo.
 
Pengine unaweza kuogopa kuoa ama kuolewa ukahisi kila ndoa ni tatizo
wala leo nakuja kukutia moyo ati sio kila ndoa ni tatizo swala ni jinsi gani ya kujilinda
kuavoid yanayotokea

kuna mengi yanatokea kwenye maisha bila kujua chanzo ni nini???
Kama unatarajia kuwa na mwenzio jitahdi sana kumshirikisha mungu sana sana ,usitarajie nduguzo watakusaidia kwenye shida zako ........,hasa za ndoa...
Yanayotokea kwenye ndoa za wengi ni mambo ya kuwa na ufahamu....pengine unaweza hisi mwnzio ndio ana matatizo kumbe sio yeye bali ni wale aliotembea nao...
Labda niwakumbushe unapokuwa na mwanamke ama mwanaume mkavuliana nguo kitandani ...mnapoingiliana kimwili ukisoma baibo mnakuwa mnabadilishana ma spirit..sasa basi najua yawezekana we ulimpenda kutoka moyoni kumbe mwenzio bila ngono kwake awezi kulala kwa siku hiyo ukawa na bahati ya kumpa ulale unono..kuna roho nyingi sana

1.uzinzi
2.roho za kuachika
3.roho za kutamaniana
4.roho za kutoka mimba
5.roho za kufanywa ndondocha na mwenzio
6.roho nyingi nyingi chafu

hizi zote unaweza kuwa nazo ukiwa umelala na mtu na kufanya nae mapenzi...so unapoondoka unajua umemwacha kumbe maroho yameingia..kivipi..pengine mwanamke kwao wao ni uzinzi ngono kwa kwenda mbele unazaa kiumbe kazuri nacho unaishia kuweka ukuta mkubwa ukihisi soln..kumbe akienda shule anamaliza shuguli huko huko..wewe ujui kwa nini kumbe ulishawahi kulala na hadija ama mwanahamisi ambae alikuwa na pepo la kuzini

pengine unaweza kuwa umefanya mapenzi ya ujanani na shida ama shika popote yeye kwao kuanzia bibi yake ameachika mama yake ameachika kaka yake wa kwanza nae kaachika mtot wa mjomba kaachika na wewe umemvulia nguo unashangaa unaoa mtoto tena wa kilokole akikaa na wewe mwezi anaruka ukuta yamemshinda ...so muwe makini

tujitahidi kusali na kuyakemea maroho yooote nilitamani ungekuwa unakumbuka mpaka na rangi za nguo za ndani za mwenzio uliwahi kutembea nae unaziandika kabisa kwenye karatasi unazichoma moto na kumwbia Mungu kama ninavyochoma hizi karatasi basi na roho zote chafu nilizowahi kuzipitia zikaungue moto ...hii ni kwa msaada wa watoto wetu jamani haya mambo yanarithi

Mungu awabariki ijumaa njema

Umenena ukweli,asiye mwamini hawezi kuelewa! Bt kwa jona la yesu tunashinda
 
Watu wangu wanaaangamia kwa kukosa ufahamu
mungu akupe ufahamu kwanza wa kuogopa na kuishinda zinaaa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom