Kama ungekuwa wewe ungechukua uamuzi gani?

Mpeleke akaombewe huyo, ni pepo la uzinzi hilo!

Umenena wangu!

Waefeso6:12
Kwa maanakushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidiya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 
kudadeki nikigundua anatoka nje, hakuna mjadala hata marehemu babu yangu aamke, ni divorce tu hata awe anajua kulima kama trekta...afanye vituko vyoooote ila sio kucheat
 
mimi ni mtumishi wa umma na mke wangu nimeishi naye miaka 7 na tumezaa mapacha na wengine 2,mama watoto anatabia ya kutoka nje ya ndoa ni kama amelogwa,nikitaka kumuacha nashindwa mana anajituma sana katika kujishugulisha na kazi za nje mpaka ndani na anajua vizuri kutunza familia,kama mapenz nampatia vizuri sana na pesa ya matumizi nampatia,sasa nifanye nini? nimezungumza naye sana anachokitafuta nje lkn wapi,mke mzuri ni yule mwaminifu na anayejituma na kazi,ushauri wenu wana Great thinkers
ktk red naona atakua na pepo huyo mpeleke akaombewe
ktk black majibu unayo tayari mkuu so take action
kibinadamu inabidi umtafutie therapist mana sio bure lazima atakua na tatizo kubwa tu na sio dogo labda kama humtimizii
 
Back
Top Bottom