Recent content by Mshasha wane

  1. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

    Huyu jamaa alituma msg humu kabla Jamii forum haijafungiwa. Inawezekana akawa muathirika wa Jamii forum kufungiwa
  2. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna shida surname ya mtoto na baba zikitofautiana?

    Mkuu nakuonea huruma kwa sababu hujui ulitendalo. Katika sehemu zote ambazo zinahitaji kujaza majina huwaga kuna jina la kwanza, jina la pili na jina la ukoo, hiyo hata kitumishi kama kijana wako anahitajika kushika nyadhifa serikalini basi vetting yake inaanzia kwenye ukoo wake ili kujua...
  3. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Hizi siyo official kit ni pre season kit as per Ahmed Ally and Jayruty CEO
  4. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Sasa huoni kuwa hapo tayari ni tofauti na kumpangia mtu kuwa ukiuza nipe bil 1,sasa ikitokea umeuza chini ya Bil 1 je utafanyaje
  5. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Hakunaga mkataba wa hivyo hata siku moja mkuu. Mimi siwezi kukuuzia kitu halafu nikakupangia namna ya wewe kukiuza. Mpaka Yanga wanamuuza Fei maana yake hawana tena mamlaka juu yake
  6. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

    Kwa wale wanaopenda simu ndogo halafu nyepesi lakini na nzuri nawashauri jaribu kutumia Samsung S 24 plain hutojutia. Haka kasimu ni kazuri aisee
  7. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Viitikio Vya Nyimbo Mbalimbali Vilivyo leta Utata

    Mimi ndo najua hapa sasa hivi kama ni oo by the way, mi nilikuwa najua ni move by the way
  8. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Nakula mara moja kwa siku, ni sawa au nataka kujiua

    Mi naonaga hii logic ni ya uongo kwa sababu kuna watu tuna mifupa mizito kiasi kwamba hata tukonde vipi uzito wetu hauwezi kushuka chini ya 75
  9. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Mkuu hiyo mali ni Simba
  10. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Mimi nilivyoona tu herufi 6 halafu nimeona hapo juu ni Zanzibar, nikamalizia kuhesabu herufi za jina Feisal basi nimeamini kuwa ni Feisal anaenda Simba
  11. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

    Daah mkuu umenikumbusha safari ya kutoka Dar-Tarime-Dar wiki mbili zilizopita nikiwa niliienjoy sana ile safari. Mi napenda kutembea usiku aisee
  12. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Adam na Dozen walihamishwa kwenye kipindi cha Jahazi toka Gardner alivyofariki so now wanasikika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usiku
  13. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Media zetu zipo kutupumbaza Watanzania maksudi, TCRA ratibu Vipindi vyenye tija

    Binafsi naona Power Breakfast wanajitahidi sana kualika wataalam mbalimbali japo na wao matangazo ni mengi sana
  14. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Sisi watanzania sijui nani katuroga, wakati wakenya wanatusifia kwa maamuzi yetu sisi tupo hapa kulalamika. Binafsi nasema serikali imefanya vizuri sana ishikilie hapo hapo tena ikibidi iongeze
  15. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

    Mkuu unatumia nguvu nyingi kujielezea ili tuamini kuwa upo sahihi.
Back
Top Bottom