Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

Kwanini watu wanapenda simu za Samsung?

Mie imeniharibikia hata sijui shida umezima tu sasa nimeanguka Tecno 🙄, japo Huawei inanibeba Sana inanitunzia vitu kibao
 
Nina aqous sense 6s aisee ni hatari
Kioo balaa very smooth
Ni 5g
Aluminum body nmehama toka Samsung A14 nikamenya hii kifupi jamaa hawa wajapan wana simu zenye tech kubwa sn sema ni wageni hapa bongo nataka nimenye ile R6
Kifupi kwa tech iliyopo kwenye hii sense 6s ingekuwa ni samsung bila laki 5 hupati simu
 
Namba 7 (kioo) ndio pigo la Samsung kwa wapinzani wake. Samsung display iko very smooth, we chukua hata a15 uone balaa lake.

Samsung ina feature nyingi, yaani inakupa kila kitu ambacho mteja anakitaka. Udambwidambwi umejaa saana Samsung.

Usitamani kuishika S21-25 Ultra ambazo zimekuja na kioo ORIGINAL kutoka Samsung. Aiseee unaweza tamani ukimbie na hiyo.
Kwa wale wanaopenda simu ndogo halafu nyepesi lakini na nzuri nawashauri jaribu kutumia Samsung S 24 plain hutojutia. Haka kasimu ni kazuri aisee
 
Natumia XIAOMI 13 ULTRA ila nataka kusogelea VIVO X200 ULTRA nione balaa lake

Samsung niliwahi kuwatumia wapo vizuri, undisputed
 
Napenda Samsung hapa katikati kuna Wahuni waliniingiza Google Pixel nilichokutana nacho sirudii tena kule kubababek bora nibakie team Samsung
Ulikutana na shida gani kwenye Google Pixel
 
Currently Natumia Xiaomi mi 11 lite nafikiria Kuhamia Xiaomi mi 13T Pro nafata Big Screen size, Under Display optical fingerprint, Big Battery.... Storage 256/12
Nimeona Ona Sehemu Kadhaa kama Mbili hivi kwa TZ used wanasimama na around 600K.

Is it Worthy it in terms of Money na Ku upgrade??

If not, What are your suggestions all Around 500K-600K kwa kuzingatia hivi walau
Dual Sim
Screen Display 6.7+
Fingerprint Iwe under Display optical
Storage config ya 12/256
Snapdragon/mediatek dimensity tucheze humu (4 nm)
Battery walau 5000Mah+
Natumia Redmi Xiomi 10c toka 2022 ila changamoto yake kubwa ni kioo kuchezacheza na kujibonyeza bila kuguswa, hii hali inanikera sana hadi nimeichukia hii kampuni...unaweza mpigia mtu ukashangaa imeanza kurecord mazungumzo yenyewe ,mwanzon niliipenda hii kampuni nikasema nitanunua redmi 13 au 15 ila nimeghairi
 
Mkuu Samsung display yao na ONE UI inafanya Samsung iwe UNIQUE.
 
Since ilipotoka note 20 ultra
Wakat huo ya moto naitumia mpaka sahvi
Kuna mwamba aliniletea kutoka Korea aise
Na bado nmeridhika nayo

Ova
 
Back
Top Bottom