Recent content by mshana5

  1. mshana5

    Tundu Lissu/Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa

    Utimamu wa huyu Mzee ni mwingi mno ccm hawawezi kumuelewa, ccm hawanaga uwezo wa kuelewa mambo kama haya.
  2. mshana5

    Musukuma: Serikali iache kufanya Biashara haiwezi, Mwendokasi Walikuwa na Mabasi 300 yamebaki 4 tu. Biashara mtuachie Watoto wa Mjini!

    Hata ATCL inakaribia kukata moto kwasababu ya hayo maujinga, sera za kijamaa zilikwisha shindwa toka Nyerere.
  3. mshana5

    Watanzania wengi hawapo Flexible, Wengi ni Conservative na hapo ndipo CCM inaposhindia.

    Elimu waliyopewa imewadumaza kwasababu ni aina ya elimu ambavyo haikufanyi ujitambue na kutambua mambo kwa wepesi. Mimi wakati nakuwa nilikuwa nawasikia ndugu na jamaa wakisema "mimi nimesoma nimefuta ujinga" lakini kadiri ninavyo kuwa nashanga, ujinga upi walioufata huko shuleni! Mbona bado...
  4. mshana5

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Mimi nilikwisha sema siku akiniweka ndani biashara huenda ikawa imeishia hapo, kama tumeshindwa kuelewana nyumbani hata huko haitawezekana.
  5. mshana5

    Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

    Bila shaka huyo atakuwa Mvulana mana wanaume wana kazi nyingi za kufanya😁😁
  6. mshana5

    Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

    😁😁😁 Bora ukazikwe lkn sio kimuambia... Acha uzamani huo Mcheki hata kwa sms tu
  7. mshana5

    Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

    Hawa ccm bila kupelekewa moto hawawezi elewa kitu, nahuko mbele watazuia maandamano na mikutano ya hadhara kwani niwazi hawawezo siasa za ushindani na hoja. Yote kwa yote nikuwapelekea moto tu nakuendelea kuelimisha umma juu ya madhila ya ccm na namna wanavyonufaika na ujinga wetu.
  8. mshana5

    Lissu ni mtu muhimu kwenye mapambano ya kudai mageuzi, tumtumie kabla hatujachelewa

    Nilijaribu kupitia Mitandaoni kuangalia kinachoendelea nakugundua Lissu ana Ubongo wa kipekee sana. Anaijua hii nchi na watu wake tofauti na tunavyodhani, ndio maana kauli zake hutafsriwa negative na wale wenye ubongo hafifu. CCM wanamuelewa sana nini Mwamba anamaani shida yao wahahofia...
  9. mshana5

    Nchi inakaribia kupasuka

    Yani hawa wanaopiga Nchi mnada huwaoni? Unachoona na kusikia ni maneno ya Lissu tu🚮🚮
  10. mshana5

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Mambo ya Ndani hayo huwa ni siri, kiyaleta hadharani sidhani kama ni sahihi.
  11. mshana5

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Huna Msaada mwingine kwake zaidi ya hiyo sex ndio maana akija kwako ni hivyo tu. Karibu kujiangalia kutakuwa kuna sehemu haupo sawa.
  12. mshana5

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Tuna cha kujifunza huko Senegal baada ya Chalii wa miaka 44 kuelekea kuchukua Nchi.( Uraisi) kilichonivutia zaidi ni namna Wananchi wa Taifa lile walivyo naujasiri kumkabili bila woga Raisi aliyekuwa madarakani pale alipotishia kuahirisha Uchaguzi. Maandamano bila kikomo yalimfanya asaliti amri...
  13. mshana5

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Hapo biashara ndio imeisha hivyo, waliokuwa wanafanya kazi hapo watafute kazi nyingine.
Back
Top Bottom